Elections 2010 CONFIRMED: Lindi Mjini - Abdulazizi ameenda na maji, CUF wachukua jimbo

Walitaka "kuchakachua" ikashindikana - and the GOOD NEWS ni kuwa mshindi ni mlemavu wa ngozi

Huyu jamaa nilimwona Jumamosi usiku kwenye mchakato majimboni ya TBC1, alikuwa na mvuto sana kwa wapiga kura wake.
 
Sikiliza! Kilio kinasikika kutoka babuloni! Kishindo cha maangamizi makubwa kutoka nchi ya wakaldayo! Maana mimi Mwenyezi-Mungu naingamiza Babuloni, na kuikomesha kelele yake kubwa. Adui anaunguruma kama mawimbi ya maji mengi, sauti ya kishindo chako inaongezeka. Naam, mwangamizi anaijia Babuloni; askari wake wametekwa, pinde zao zimevunjwavunjwa. Mimi Mwenyezi-Mungu ni Mungu mwenye kuadhibu, hakika mimi nitalipiza kisasi kamili.

Naam! Kwa maana kisasi ni juu yangu mimi nitalipa asema bwana.
 
WApo REDIO, matokeo rasmi yametangazwa
ubunge=chadema 17742,ccm 16616
Monica chali
 
Chama cha wananchi Cuf kimeongeza namba ya wabunge bungeni katika jimbo la kilwa kusini, jimbo lile lililokuwa limeshikwa na Mh Asnein wa ccm, yule muhindi
 
excellent,na Kasulu mjini imeenda NCCR mageuzi
ndivo tunavotaka tuone bunge lenye akili za kujenga hoja nzito kwa maslahi yetu
vilaza hatutaki,,,ngojeni 2015
 
Saaaaaaafi hio ni picha nzuri kwa 2015, harufu ya mabadiliko hiooooooooooo.
 
Bora jimbo liende kwa mpinzani yoyote kuliko ccm...
 
idadi njema sana hii bungeni sasa
wapinzani pamoja sana!!
 
Mbunge wa Lindi mjini mheshimiwa mkuu wa Mkoa ameshindwa vibaya na mgombea wa CUF hivi sasa watu wapo mitaani
SAFI SANA WANALINDI MJINI, KILWA NA MASASI KWA KUONESHA MABADILIKO NA KUKIAMINI CHAMA CHA WANANCHI CUF! BIG UP!!!!!
ABDULAZIZI (SILIPI DENI) AMETUFANYA MAMBUMBUMBU KWA MUDA MREFU SANA!

:israel:
 
Back
Top Bottom