Elections 2010 CONFIRMED: Lema atangazwa rasmi kuwa mbunge wa Arusha mjini

Na hii yote ni kwa ajili ya people's power. Kama watu wasingekusanyika wasingemtangaza
 
kama si kuwepo kwa ndesamburo pale ndani, ccm ikiongozwa na EL walikuwa wanamshawishi lema achukue billoni moja- pesa ya kitanzania, wao wachakachue matokeo watakavyo. hii ndiyo ccm wanataka itumia kule mwanza pia. so chadema na wapinzani wengine tuwe karibu na wagombea , na mawakala wetu kwani wanaweza kpitiwa na nguvu ya shetani CCM. shetani huyu anaweza kushawishi kama imani yako ni haba.
WTF.....1billion kweli ccm watu wabaya....asante ndesa na mbowe kwa kuwepo pale na hakika hiyo ilikua hela ndefu sanaa kukataa!
 
Lema tayari mbunge, ndo tunashangilia ushindi hapa.

Kura:

CHADEMA: 56,000+
CCM: 36,000+

Peopleeeeeeeeeeeeee's Power.

CCM WAKUBALI MATOKEO........ WHAT DOES THIS MEAN KWAMBA WALIKUA HAWATAKI MATOKEO....????? ATI WAMPE MILLIONI 200 :nono::nono:AWAACHIE KITI WANAKICHAAAAAAAAA!!!!!!!!!!
 
Batilda akubali ku sign kushindwa CHADEMA YACHUKUA UBUNGE ARUSHA MJINI HUREEEEEEEEEEE

CHADEMA KURA 547876

CCM KURA 32110
 
sio kama nauburi udini no.! ila sehemu nyingi alizo kimbiza jk zina idadi kubwa ya vibarakashee na madira,na ndo maana ukicheki utakuta wana gawana vibarakashee na CUF,next TIME siangalii sera ni IMANI MKAZI. FAAAKI PISI:A S angry:
 
Back
Top Bottom