CONFIRMED: Lema atangazwa rasmi kuwa mbunge wa Arusha mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CONFIRMED: Lema atangazwa rasmi kuwa mbunge wa Arusha mjini

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Safina, Nov 1, 2010.

 1. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lema tayari mbunge, ndo tunashangilia ushindi hapa.

  Kura:

  CHADEMA: 56,000+
  CCM: 36,000+

  Peopleeeeeeeeeeeeee's Power.
   
 2. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 675
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 180
  toa taarifa kama ametangazwa na si vinginevyo
   
 3. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  peopless power
   
 4. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mods unganisha hii kwenye thread zinazohusiana na hii habari
   
 5. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kabisa, hicho ndo tunachotaka na si tetesi
   
 6. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,722
  Likes Received: 1,213
  Trophy Points: 280
  Watu mnachosha mno. kha!
   
 7. C

  Chibingwa Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Katangazwa, Source TBC1
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  nINA MASHAKA KAMA NI KWELI HII HABARI, MAANA HADI DAKIKA KUMI NYUMA ILIKUWA BADO!
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  naombeni mtupe taarifa za ukweli watu wa mungu maana kila mmoja anakuja na sredi
   
 10. n

  nassoro88 Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 13, 2008
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  its tru he has been announced here but theres a contoversy over the radio announces otherwise
   
 11. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160

  Nani kamtangaza mshindi, acha kurusha watu roho hap!!!

  Source please!!!!
   
 12. K

  King kingo JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  acha uhuni TBC ya wapi hiyo?
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Jamani, niko mita kadha toka eneo la tukio, bado hakuna kitu...Lema , Ndesamburo, Mbowe na watu wa CCM bado wako chumbani!..Tuwe wapole tusubiri!
   
 14. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Hebu chekini hii website, tunatofautiana lakini si maadui, ni mtizamo tu, CCM si mbaya mbaya ni wale waliojiunga nacho na kukitumia vibaya, sasa wamejikita kiasi kwamba ni vigumu hata kuwasogeza hata kwa winchi. So, unawaacha unajenga pembeni na ujenzi ndo umeanza, miaka mitano ijayo tunapaua, hata kama hatutapaua safari hii. Pipoooooooooooooooooooo....
   
 15. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tunakuaminia mkuu. Tunasubiri
   
 16. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Jamani kama huna reliable source please keep quite!!! We need credible information now, not tetesi!!!:nono:
   
 17. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  kama ni hivyo ninabadilisha avatar
   
 18. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  sory wana mageuzi hii hapa kwa sasa nimeipenda sana! TUko tofauti kimawazo na kiitikadi lakini isimamo yetun ni mimoja kujenga nchi, sasa kama ni kwa cement au ni kwa udongo, ni technolojia tu, ukikataa nyasi hoteli za utalii wanezekea, ukataa bati ndo inaaminika ya kisasa hebu chikini hapa BBC News - Why is there almost no tribalism during Tanzanian elections?
   
 19. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,552
  Trophy Points: 280
  Mimi kuanzia saa kumi nimejulishwa kuwa matokeo Msimamizi wa uchaguzi alikuwa kamaliza kazi yake ila CCM walikuwa wanamzuia asitoke nje na kuyatamka................kura zimejumlishwa mara kadhaa lakini CCM sasa wanataka maboksi yafunguliwe na hilo Msimamizi hana mamlaka ila kwa kibali cha Mahakama tu...............................Lowasaa na JK sijui wanataka kuipeleka wapi nchi hii.huku wanahubiri amani huku wanajenga mazingira ya kuivunja amani hiyo wao wenyewe...........................
   
 20. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
Loading...