Elections 2010 CONFIRMED: Lema atangazwa rasmi kuwa mbunge wa Arusha mjini

Ijue kauli mbiu ya chadema arusha mjini .

wao wana pesa sisi tuna mungu , usiogope tutashinda.
 
G. Lema amemgaragaza DK batilda Buriani

Lema 56000 na Batilda 36000

Nimekuwepo eneo la tukio na It is officially confirmed hata star Tv wameshatangaza live
 
kama si kuwepo kwa ndesamburo pale ndani, ccm ikiongozwa na EL walikuwa wanamshawishi lema achukue billoni moja- pesa ya kitanzania, wao wachakachue matokeo watakavyo. hii ndiyo ccm wanataka itumia kule mwanza pia. so chadema na wapinzani wengine tuwe karibu na wagombea , na mawakala wetu kwani wanaweza kpitiwa na nguvu ya shetani CCM. shetani huyu anaweza kushawishi kama imani yako ni haba.
 
Ni kweli jamani Lema katangazwa kuwa mbunge wa Arusha mjini.ITV na TBC wametangaza.Haina shaka kabisandugu zanguni Kata 10 CCM na kata 8 CHADEMA
 
Back
Top Bottom