Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

Kuna signature ya mdau mmoja hapa inasomeka...KAMA HUKUTAKATA MTONI, UTAWEZAJE KUTAKATA BAFUNI? CCM wamefulia, wameshindwa kutakata mtoni, bafuni wataweza>?


hahahah mkuu Masaki naona umeisoma tayari, by the way hapa kati uliadimika sana hapa......
 
Amepata kura nyingi sana. Zaidi ya kura 66,000 dhidi ya 50,000 za yule wa CCM. Kwa margin hii sielewi ni kwanini walichelewa kutangaza. Karatu nako CHADEMA kura 41109; CCM 26201.
 
sasa angalieni wanaanza kuchakachua za Slaaaaaaaa jamani ...... Mungu wape uwendawazimu wote wanaoshiriki hizi mbimu chafuuuuuuuu

Membe hesabu zako za mwaka huu mzee wa uchakachuaji vipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
utajibu tu kwenye kiti cha hukumu..................................
hautaishi milele - kizazi chako hakitarithi mali zako milele kuna siku wataongelea eti kulikuwa na babu yetu mmoja aliitwa Membe, Jakaya ndiye aliyefanya tulaaniwe, tusiweze hata kuendelea tenaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mnyika more than 61000 and CCM more than 50000. Mnyika has been declared the winner!
 
Habari za uhakika kutoka loyola kituo cha kutangazia matokeo ya ubungo. John Mnyika ndiye mshindi na kwa sasa ni Mbunge mteule wa jimbo la ubungo.
Hongera Mnyika.
JF: Jamaa kashinda for 67,000 against CCM 50,500. Ndugu yetu Mtatiro kapata 17,000.
Hali sio nzuri, Mnyika anahutubia wapambe ambao wako hundreds of Thousand.

KARATU CHADEMA (41,000) CCM (21,000) Comfirmed Results. Chademaaaaaaaaaaa, Vemaaaaaaaaaaaaaaaa
 
rombo hali tete, tetesi chadema kashinda kwa tofauti ya kura mbili ila bado hayajatangazwa coz zengwe limetanda, source star tv
 
Kijana J.J Mnyika ameshinda Ubunge Jimbo la Ubungo-Source mwananchi
 
Yes, mimi niko na BBC Swahili Live on line.
Mnyika-CHADEMA.................66,742
Hawa? - CCM......................50,500


Jimbo la Karatu nalo tayari:
Mch. Yohana CHADEMA........... 41,600
??? CCM................................29,400

The move is going on and on. CHADEMA hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Chadema kaza buti...2015 tuikomboe Ikulu yetu toka kwenye mikono ya kidhalimu!!
 
Hongera kwa wanamageuzi, kwani kijana huyu anafaa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana! Ssiem wameshindwa kuyachakachua.
 
hongera sana kijana mwenzetu Mnyika,natumaini utakuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wengine wote kwa kupinga ufisadi kwa nguvu zote.
 
weraaaaaaaaaaaaaaaaa...vijana ndani ya bunge....hakuna kusinzia wala nini
 
Thanks,thanks,thanks
Thanks,thanks,thanks


Namshukuru MUNGU kura yangu haikupotea,
HONGERA SANA MNYIKA
WATANZANIA TUNAHITAJI MABADILIKO
MSIBADILIKE MKIFIKA BUNGENI.
 
Thanks,thanks,thanks
Thanks,thanks,thanks


Namshukuru MUNGU kura yangu haikupotea,
HONGERA SANA MNYIKA
WATANZANIA TUNAHITAJI MABADILIKO
MSIBADILIKE MKIFIKA BUNGENI.
 
Hongera Mh Myika. Kazi ni moja tu ya kurudisha nidhamu katika utendaji wa kazi wa serikari. Watu waone utendaji si kusubiri kupewa ahadi tu.......People's power!!!!
 
Back
Top Bottom