Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

Wanaume mbona wanahusika sana mkuu, utasikia "kuna demu mmoja nilimtongoza fb, kanitumia picha halafu amedai ........"

ukweli upo wazi kwa unaloliwasilisha hapa, matumizi ya fb kwa jamii yetu ni kama moja ya vitendea kazi vya kurahisisha na kufanikisha zinaa.
 
Nilipotea kidogo hapa na kwenda mtandao wa kijamii wa facebook ili kujaribu kuangalia ni vitu gani vinajiri huko. Ndani ya mitandao ya kijamii huwa napenda kufanya researches kuhusu maisha, mawasiliano, michangamano na mahusiano ya watu.

Nina rafiki kadhaa ambao awali walishawahi kulalamika na kuhofia kwamba kati ya marafiki wa wapenzi/wachumba/wake/waume zao facebook kuna uwezekano mkubwa katika marafiki hao wapo ambao ni maex bfs/gfs au ni wezi wa wapenzi/wachumba/wake/waume zao.

"We went further to validate the hypothesis", lakini utafiti huu ulichochewa na matukio kadhaa ambayo niliyashuhudia mwenyewe:

Tukio la kwanza:

Mke wa mtu HRM (Jirani yangu), katika taasisi fulani, ambaye nilikuwa namheshimu sana na niliamini kabisa atakuwepo katika top 100 ya wake wema Tanzania, siku moja akaniomba laptop yangu afanyie kazi fulani ya ofisini, Tanesco wanavyozingua alitumia laptop yake mpaka ikaisha chaji. Nikampa laptop. Wakati akiwa anafanya kazi zake kumbe aliingia facebook. Alinirudishia laptop akasahau kulogin, pia aliicommand browser ikumbuke password. Baada ya kunirudishia kucheki kwenye facebook page yake hivi watu kama 50 wanamwandikia chat msgs, alikuwa amereply kadhaa zingine amezipotezea tu. Dah, msgs zingine zilikuwa zinasomeka hivi:

facebook user1: "Baby nataka nikupe mtoto mwingine, jamaa yako ----- hawezi kushtukia wala usiwe na wasiwasi"

facebook user2: "Wewe mwanamke siwezi kuacha kukutia wewe hata nifumaniwe na mmewe"

Madam (HRM): Ahsante unanittomba vizuri, siwezi kukuacha, lakini tuwe makini.

etc., etc., etc.,

Tukio la pili:

Mdada mmoja aliniomba nimfungulie fb account kwa kutumia PC yangu, alidai anatumia simu na kila alipofikia hatua ya mwisho ya kufungua account alikuwa anaambiwa aingize verification code fulani, na kila alipoiingiza iligoma. Nikamfungulia na kumpa temporary password, nilimwambia abadilishe during the first login. Miezi kama minne baadaye sijui nilikuwa na wazimu gani, nikajaribu kulogin:

Relationship status: Engaged to Mentor

Wall posts: "I love u so much Mentor, etc.,"

Chat msgs na chat history:

To facebook user 3: "U fucck me gud, mchumba wangu nimempend, nimemwambia mpaka tufunge ndoa, of course lazima asotee kwanza"

To facebook user 4: "Unajifanya siku hizi hunifeel, lakini wa kunikojolesha mbona wapo wengi tu"

"Nimemwambia my hubby kwamba naenda kwa bibi kumsalimia na kumweleza nimepata mchumba, amefurahije, but please nakuja, nataka unittombe, unajua nitakuwa kwenye kifungo muda si mrefu, sijui tutakuwa tunakutanaje"

Halafu facebook user 5 ambaye ndiye anamwiba msichana wa mtu analike comments na wall posts za msichana na kumsifia kwa kwenda mbele.

Mdada anayehusika na hapo juu, anaonekana decent, halafu ni mfanyakazi katika wizara ya maliasili na utalii.

Tukio la tatu:

University student mmoja, aliniomba atumie PC yangu home ili kuandika assignment, nikampa. Umeme ulikata ghafla wakati anaendelea na kazi na PC ilijizima, haijaunganishwa na UPS. Kumbe wakati anafanya kazi zake alikuwa fb. Umeme ulivyorudi baadaye sana baada ya yeye kusubiria na kuona ni michosho akaamua kwenda zake, niliwasha PC, nikaiambia irestore, dah (thanks God kwa kunionyesha haya):

To facebook user 6: "Namba yako mie sijaisave, usinipigie wala kunitext, subiri nikutafute, usije kunivunjia uchumba, I love the guy although he is not such a bad boy kama wewe, u know u drive me crazy ennhh!"

To facebook user 7: "Siku ile unanitoomba halafu umelewa, sitaki hiyo tabia bwana, punguza "

To facebook user 8: "Jana nilishindwa kuja, maana bf wangu aliniganda kama luba, halafu mishe zenyewe wala zilikuwa hazieleweki, najua wiki ijayo ana exams so atakuwa tit, sitaki turudi ile guest tena maana niliona kama vile kuna wambeya wengi, nipeleke hotel, ok, nitakupa ramani baadaye"

Nitawaambia baadaye nikipata wasaa namna tulivyokamata password kadhaa za wake/wachumba/wapenzi za watu. Hint njia mojawapo:

Nilimwambia jamaa amwombe mpenzi wake simu kwa kisingizio cha kupiga au kuitumia kwa matumizi yoyote. Jamaa alimwambia naomba simu niingie kwenye mtandao fulani nicheki something - yake ni ya torch, kwa hiyo isingeweza. Tulitumia namba ya simu kulogin fb, tukacompromise login, then msg ya fb ikaja inasema "forgotten your password, click here" Tuliclick halafu tukatumiwa password nyingine na kuweza kuiteka akaunti kwa muda wa kutosha.

Tuliyoyakuta, jamaa karibu azimie lakini nilimtia moyo na kumfariji. Nitarudi
utoto raha sana yani unaongea unavyotaka ukiamini na wao wanafikiria kama wewe uanvyofikiria .

watoto wa chuo wakichoka kusoma bwana ....yani wanatunga tunga tu uongo ....kwani bado hamajaanza tu hizo test zenu ili ziwaweke busy kidogo....
 
Ennie, of course wanawake ndio wanaoongoza. Kuna findings zingine sijaweka, muda hautoshi.

Kama mie mwongo mwambie mpenzi wako alogin kwenye fb account yake halafu kwenye chat history au PMs, ujionee mwenyewe.

Sijasema wewe muongo,nimeuliza tu idadi ya laptop ulizo nazo.
Mpenzi wangu naye ni katika wanaokuazimaga lap top?
 
Sijasema wewe muongo,nimeuliza tu idadi ya laptop ulizo nazo.
Mpenzi wangu naye ni katika wanaokuazimaga lap top?

Laptop huwa namwazima mtu yeyote kama ana matumizi nayo - mie sio mchoyo kivile, ila nyingine ni yangu pekee, simwazimi mtu.
 
Ts painfull, but ndo ukweli wenyewe...ukitaka kuprove anzisha fake account umtongozeee mpenzi wako uone majibu
 
utoto raha sana yani unaongea unavyotaka ukiamini na wao wanafikiria kama wewe uanvyofikiria .

watoto wa chuo wakichoka kusoma bwana ....yani wanatunga tunga tu uongo ....kwani bado hamajaanza tu hizo test zenu ili ziwaweke busy kidogo....

Wewe dogo una matatizo gani, ungeweza kupita tu, kwanza una wasiwasi gani wakati mumeo hata facebook haijui, yeye anajua ni kitabu. kwani JF ni yenu mpaka umwekee mtu mipaka ya kuandika, umeletewa data unalia, kwenda zako huko.
 
Ts painfull, but ndo ukweli wenyewe...ukitaka kuprove anzisha fake account umtongozeee mpenzi wako uone majibu

Anayebisha aanzishe hiyo aone kama hajavunja mahusiano fasta. Tena aweke mipicha ya migari mikubwa mikubwa kama Hammer na miBMW kama hajamtongoza within mins.
 
ukweli upo wazi kwa unaloliwasilisha hapa, matumizi ya fb kwa jamii yetu ni kama moja ya vitendea kazi vya kurahisisha na kufanikisha zinaa.

Nakubaliana na wewe lakini kuna watu wanabisha kwa sababu inawauma. Kuna jamaa moja ni mtu wa makamo alisema siwezi tena kujiunga na mtandao wowote wa kijamii, baada ya kukuta wall ya binti yake aliyekuwa form 4 wamepiga picha analiwa denda na mtu hata hamjui! Alikataa kata kata kumlipia ada ya shule. Halafu humu kuna watu wengi mahusiano yao yamevunjika kwa sababu ya fb, lakini sio lazima wakiri.
 
Anayebisha aanzishe hiyo aone kama hajavunja mahusiano fasta. Tena aweke mipicha ya migari mikubwa mikubwa kama Hammer na miBMW kama hajamtongoza within mins.
...wakati mwingine watu wanabsha kwa sababu wanaumia lakini ndo ukweli...kama hii ya kwako mtu haikubali...mtu atunge e-mail, aifungulie facebook account alafu amtongozee mke au mchumba wake wit swaga alete majibu....Mapenzi ya bongo magumu sana...WATU HAWATAKI ukweli...mkuu simplicity
 
hapo lazima ni chuo tu, maana kupata muda wa kuandika takataka ndefu hivyo na kuchungulia inbox ni ni mtoto wa shule tu ndiyo anaweza kupata!

Rekebisha kwanza signature yako, umeikosea: "Kushindwa kuelezea mwanzo haina maana nikubali kuna fisi mwenye mikia saba aliyeumba sungura wote duniani" -Introvert

...wakati mwingine watu wanabsha kwa sababu wanaumia lakini ndo ukweli...kama hii ya kwako mtu haikubali...mtu atunge e-mail, aifungulie facebook account alafu amtongozee mke au mchumba wake wit swaga alete majibu....Mapenzi ya bongo magumu sana...WATU HAWATAKI ukweli...mkuu simplicity

Kwanza sitaki mengi, wanipe user names za wake zao, sitaki wachumba wala wapenzi, i mean wake. Nitakuja kukopy na kupaste link ya chat history hapa kama mtu hajafa, mie sitajali chochote coz nitafungua account ambayo nitaifunga baada ya zoezi.
 
...wakati mwingine watu wanabsha kwa sababu wanaumia lakini ndo ukweli...kama hii ya kwako mtu haikubali...mtu atunge e-mail, aifungulie facebook account alafu amtongozee mke au mchumba wake wit swaga alete majibu....Mapenzi ya bongo magumu sana...WATU HAWATAKI ukweli...mkuu simplicity

Wanaujua vizuri, Jf yenyewe kuna watu wameambulia manyoya mara kibao, sembuse facebook, unakuta mke wa mtu ana marafiki 1024, halafu wote hao awe anachat nao kuuza chai tu, thubutu!
 
Back
Top Bottom