Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

JF2050

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
2,085
0
Nilipotea kidogo hapa na kwenda mtandao wa kijamii wa facebook ili kujaribu kuangalia ni vitu gani vinajiri huko. Ndani ya mitandao ya kijamii huwa napenda kufanya researches kuhusu maisha, mawasiliano, michangamano na mahusiano ya watu.

Nina rafiki kadhaa ambao awali walishawahi kulalamika na kuhofia kwamba kati ya marafiki wa wapenzi/wachumba/wake/waume zao facebook kuna uwezekano mkubwa katika marafiki hao wapo ambao ni maex bfs/gfs au ni wezi wa wapenzi/wachumba/wake/waume zao.

"We went further to validate the hypothesis", lakini utafiti huu ulichochewa na matukio kadhaa ambayo niliyashuhudia mwenyewe:

Tukio la kwanza:

Mke wa mtu HRM (Jirani yangu), katika taasisi fulani, ambaye nilikuwa namheshimu sana na niliamini kabisa atakuwepo katika top 100 ya wake wema Tanzania, siku moja akaniomba laptop yangu afanyie kazi fulani ya ofisini, Tanesco wanavyozingua alitumia laptop yake mpaka ikaisha chaji. Nikampa laptop. Wakati akiwa anafanya kazi zake kumbe aliingia facebook. Alinirudishia laptop akasahau kulogout, pia aliicommand browser ikumbuke password. Baada ya kunirudishia kucheki kwenye facebook page yake hivi watu kama 50 wanamwandikia chat msgs, alikuwa amereply kadhaa zingine amezipotezea tu. Dah, msgs zingine zilikuwa zinasomeka hivi:

facebook user1: "Baby nataka nikupe mtoto mwingine, jamaa yako ----- hawezi kushtukia wala usiwe na wasiwasi"

facebook user2: "Wewe mwanamke siwezi kuacha kukutia wewe hata nifumaniwe na mmewe"

Madam (HRM): Ahsante unanittomba vizuri, siwezi kukuacha, lakini tuwe makini.

etc., etc., etc.,

Tukio la pili:

Mdada mmoja aliniomba nimfungulie fb account kwa kutumia PC yangu, alidai anatumia simu na kila alipofikia hatua ya mwisho ya kufungua account alikuwa anaambiwa aingize verification code fulani, na kila alipoiingiza iligoma. Nikamfungulia na kumpa temporary password, nilimwambia abadilishe during the first login. Miezi kama minne baadaye sijui nilikuwa na wazimu gani, nikajaribu kulogin:

Relationship status: Engaged to Mentor

Wall posts: "I love u so much Mentor, etc.,"

Chat msgs na chat history:

To facebook user 3: "U fucck me gud, mchumba wangu nimempend, nimemwambia mpaka tufunge ndoa, of course lazima asotee kwanza"

To facebook user 4: "Unajifanya siku hizi hunifeel, lakini wa kunikojolesha mbona wapo wengi tu"

"Nimemwambia my hubby kwamba naenda kwa bibi kumsalimia na kumweleza nimepata mchumba, amefurahije, but please nakuja, nataka unittombe, unajua nitakuwa kwenye kifungo muda si mrefu, sijui tutakuwa tunakutanaje"

Halafu facebook user 5 ambaye ndiye anamwiba msichana wa mtu analike comments na wall posts za msichana na kumsifia kwa kwenda mbele.

Mdada anayehusika na hapo juu, anaonekana decent, halafu ni mfanyakazi katika wizara ya maliasili na utalii.

Tukio la tatu:

University student mmoja, aliniomba atumie PC yangu home ili kuandika assignment, nikampa. Umeme ulikata ghafla wakati anaendelea na kazi na PC ilijizima, haijaunganishwa na UPS. Kumbe wakati anafanya kazi zake alikuwa fb. Umeme ulivyorudi baadaye sana baada ya yeye kusubiria na kuona ni michosho akaamua kwenda zake, niliwasha PC, nikaiambia irestore, dah (thanks God kwa kunionyesha haya):

To facebook user 6: "Namba yako mie sijaisave, usinipigie wala kunitext, subiri nikutafute, usije kunivunjia uchumba, I love the guy although he is not such a bad boy kama wewe, u know u drive me crazy ennhh!"

To facebook user 7: "Siku ile unanitoomba halafu umelewa, sitaki hiyo tabia bwana, punguza "

To facebook user 8: "Jana nilishindwa kuja, maana bf wangu aliniganda kama luba, halafu mishe zenyewe wala zilikuwa hazieleweki, najua wiki ijayo ana exams so atakuwa tit, sitaki turudi ile guest tena maana niliona kama vile kuna wambeya wengi, nipeleke hotel, ok, nitakupa ramani baadaye"


Nitawaambia baadaye nikipata wasaa namna tulivyokamata password kadhaa za wake/wachumba/wapenzi za watu. Hint njia mojawapo:

Nilimwambia jamaa amwombe mpenzi wake simu kwa kisingizio cha kupiga au kuitumia kwa matumizi yoyote. Jamaa alimwambia naomba simu niingie kwenye mtandao fulani nicheki something - yake ni ya torch, kwa hiyo isingeweza. Tulitumia namba ya simu kulogin fb, tukacompromise login, then msg ya fb ikaja inasema "forgotten your password, click here" Tuliclick halafu tukatumiwa password nyingine na kuweza kuiteka akaunti kwa muda wa kutosha.

Tuliyoyakuta, jamaa karibu azimie lakini nilimtia moyo na kumfariji. Nitarudi
 

JF2050

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
2,085
0
Ennie, of course wanawake ndio wanaoongoza. Kuna findings zingine sijaweka, muda hautoshi.

Kama mie mwongo mwambie mpenzi wako alogin kwenye fb account yake halafu kwenye chat history au PMs, ujionee mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,349
0
hapo lazima ni chuo tu, maana kupata muda wa kuandika takataka ndefu hivyo na kuchungulia inbox ni ni mtoto wa shule tu ndiyo anaweza kupata!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom