Mkuu LIKUD nakumbuka last time uliazimia asifike kwenye harusi yako kabisa ulifanikiwa?
yeah nilifanikiwa kaka.Angekuja kuniabishisha tu . Coz alivyo jiweka,hafanani kabisa na mimi wala any member of our family. Maadui wa familia yetu wanamchukulia yeye kama kielelezo cha familia yetu. Mfano ukikutana na jamaa, lets say hata hapo Mlimani City,he be like " Yule braza ako,juzi alikuwa sehemu fulani hivi,alifanya hiki,hiki hiki and bla bla bla...Ni aibu kumtambuilisha kwa watu kamandugu yako.
Nilikaa muda wa kama wiki tatu nikifikiria situation yako mkuu ila inaonekana wewe upo very sensitive sana, sasa mkuu kwa mfano angekua shoga ungefanyaje? Halafu kwani mkuu huyu bro wako ina maana hamna jinsi yoyote mpaka afukuzwe home
busara hainunuliwi
Peleka ungese huko kumlekebisha mtu unaleta kichefuchefu cha mimba changa