condom za DUREX | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

condom za DUREX

Discussion in 'JF Doctor' started by Bishanga, Oct 14, 2009.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Kuna Pharmacist kanilipulia bomu akaniambia Condoms za DUREX aina ya FEATHERLITE zenye pakiti ya rangi ya brown zimepigwa marufuku kisa ziko chini ya kiwango. Naomba wadau walio karibu na TFDA watuhabarishe kama ni ya kweli haya,na je usalama wa waliokuwa wanazitumia uko vipi au ndo inabidi kujisalimisha 'angaza'? Kusema kweli inatisha maana leo pitia Pharmacy yoyote mjini aina hiyo ya condoms kweli hazipo madukani! Wadau twafa maana ilianza na metakelfin feki,mara ampicillin feki sasa jamani hawa matapeli wanavamia na idara nyeti?
   
Loading...