Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 2,882
- 7,916
Hii imekaaje wataalamu wa mambo ya kiroho?
Uzi tayari.
Uzi tayari.
Oga na vhimvi mawe na limaooHii imekaaje wataalamu wa mambo ya kiroho?
Uzi tayari.
Okay okay, huu sio uchawi?Oga na vhimvi mawe na limaoo
Condom n kusambaza ukimwiii kaziyake
Endeleen kuzitunia
Mikosi kutoka kwa nani?Mke au mpenzi muaminifu wa baa?Lazima upate mkosi tu.Hii imekaaje wataalamu wa mambo ya kiroho?
Uzi tayari.
Hapana mkuu chumvi inaondoa mapooza Iko pia kwa bibleOkay okay, huu sio uchawi?
HaswaaaaSasa condom si inazuia ligovi tu
Mapooza ni kitu gani?Hapana mkuu chumvi inaondoa mapooza Iko pia kwa bible