Weeeee Bi kidude, hiyo ni surname yangu
Tusiwangiane kabisa
tena hazeeki maini....Hata ng'ombe mzee analiwa bana
Basubiri huko huko
Ruksa kuniuma chemba
Kongosho rice mkubwa,condi rice bado mbichi kabisa,wa mwisho suzan rice mtoto mashalaah anaita,chezeya watoto wa John Rice
mamduchu hebu ngoja,kwani hawa Suzan na Condoleeza kwa mzee Rice ni kama King'asti na Cantalisia walivyo kwa Mtambuzi?
Hapa nimeingia chaka, hata sijaelewa kabisa kwamba mnazungumzia jambo gani............!
tena hazeeki maini....
Santa sana!
Kwa idhini hii , so far soon hivi nitakuuma, taa'ratiiibu pasi na mnafiki yeyote kujua!
Huniwezi miemamduchu hebu ngoja,kwani hawa Suzan na Condoleeza kwa mzee Rice ni kama King'asti na Cantalisia walivyo kwa Mtambuzi?
Hapa nimeingia chaka, hata sijaelewa kabisa kwamba mnazungumzia jambo gani............!
Mtasema sana,Hahahahahahah ulikuwa hujui mamito? John na Angela Rice walizaa bana, mwulize Kongosho Rice atakwambia lol
huniwezi mie
nnalo basi!
Naongelea familia ya rice, not a nobody kama king'asti na cantalisia
ni mie na mrs rutherfold tu
mtasema sana,
tena wee bora unibembeleze nikuajiri hg wangu