Condoleezza Rice, Susan Rice, Kongosho Rice

Condoleezza Rice, Susan Rice, Kongosho Rice

Konnie !
Sijakutia mbonini kitambo ujue?
Hebu tafuta chimbo nikunong'oneze. Ukizarau badae lawama staki .
 
Konnie unajua jina litakalotokea hiyo surname ukiitafsiri kwa kiswahili???
 
Konnie !
Sijakutia mbonini kitambo ujue?
Hebu tafuta chimbo nikunong'oneze. Ukizarau badae lawama staki .

Alikuwa bize kumpokea mwenyekiti jana mnazi mmoja,bahati mbaya sijui kukopi na kupesti ningekuonyesha picha yake imetoka frontpage 'uhuru'.
 
Congratulations-Glitters-16.gif
 
Alikuwa bize kumpokea mwenyekiti jana mnazi mmoja,bahati mbaya sijui kukopi na kupesti ningekuonyesha picha yake imetoka frontpage 'uhuru'.

Na anavyoipenda hela huyu! Hashindwi ! Saivi ana hesabu faida tu.
Kuna tetesi hata zile zilizokua zikigaiwa chooni yeye ndy alikua anaratibu.
 
Back
Top Bottom