Mtaalamu wa kuwarestisha in pisi wenzake huko CCM. ukitofautiana wa wenzako huko ccm kaa mbali na huyo magoti, mangula anammanya sanaLeo tar 04 Septemba 2021, kada kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg Petro Magoti amefunga pingu za maisha na mchumba wake wa muda mrefu, mrembo Joyce Mvungi.
View attachment 1923901
Kada huyu ambaye anafanya kama Ofisa Makao Makuu ya Chama. Alikuwa msaidizi wa karibu sana kwa aliyekuwa Katibu wa NEC, Siasa na uenezi, Ndg Humphrey Polepole.
Mkewe ni wakala wa Ulimbwende wa kampuni maarufu ya Black Fox Models Africa.
Harusi hiyo imefanyika katika viunga vya Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Tuwatakie ndoa njema na yenye furaha.
View attachment 1923900
Miongoni mwa watumwa wa mwendazake huyu alitumwa akampe sumu mangula na kasababisha watu wengi wakapotea toka akiwa MNMA
HaikuhusuUlikuwepo?
kosoa tu roho yako isuuzike,ukimaliza nawewe unakatwa mguu.Siipendi ccm na huyo jamaa nasikia ni mtu mbaya Ila najizuia kukosoa maumbile ya Mungu.
Sawa Basi huyo jamaa ni kibiyongo haya umefurahi?kosoa tu roho yako isuuzike,ukimaliza nawewe unakatwa mguu.
Ukijaribu tutajikuta kwenye Kiroba siku moja.Ngoja tumsaidie kupiga show...!!!
IliyochangamkaSawa Basi huyo jamaa ni kibiyongo haya umefurahi?
Usitusemee sisi wanawake tunajuana.na tunajua alichofata mbele ya pesa hata kama ana njiti itaonekana mguu wa mtotoπshemeji anajua alichofata mana watu aina hiyo mwili wote urefu wake huhamia miguuni
Ndo mshenga wakeMangula alikuwepo?
kweli ila ukweli mnaoUsitusemee sisi wanawake tunajuana.na tunajua alichofata mbele ya pesa hata kama ana njiti itaonekana mguu wa mtoto[emoji23]
Usiwe serious sana, wanawake most of tge times huingia kwenye mahusiano sababu ya huruma tu au kama sadaka, wengine sababu ya ukaribu, wengine upweke na webgine visasi.Kwa hiyo ule msururu wa vigezo vya 'awe mweupe, mrefu, hofu ya Mungu n.k.' vyote mbele ya pesa vinapiga breki.
Huyo mbeba sumu hana tofauti na grand p,anapendewa pesa tu ....hayo ni fuso halafu magoti kirikuuLeo tar 04 Septemba 2021, kada kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg Petro Magoti amefunga pingu za maisha na mchumba wake wa muda mrefu, mrembo Joyce Mvungi.
View attachment 1923901
Kada huyu ambaye anafanya kama Ofisa Makao Makuu ya Chama. Alikuwa msaidizi wa karibu sana kwa aliyekuwa Katibu wa NEC, Siasa na uenezi, Ndg Humphrey Polepole.
Mkewe ni wakala wa Ulimbwende wa kampuni maarufu ya Black Fox Models Africa.
Harusi hiyo imefanyika katika viunga vya Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Tuwatakie ndoa njema na yenye furaha.
View attachment 1923900
Kwanini wamsaidie?Mkaanga sumu wa magufuli utafikiria robot,acha wahuni wamsaidie kumpelekea moto mkewe
Ngoja King Kong III aje aseme chochoteHuyo mbeba sumu hana tofauti na grand p,anapendewa pesa tu ....hayo ni fuso halafu magoti kirikuuView attachment 1933791
Kwanini wamsaidie?
Haya BossMengine tunyamaze
Ngoja King Kong III aje aseme chochote