Comrade Julius Mtatiro


Please do not curse!
 
am I fitting well? I will try
There is no too late to hear you call. Prof. Pius Ng'wandu amepiga Ph.D ya science, at 50 amejienroll na LL.B pale open akagraduate at 55 akaunganisha LL.M na kumaliza at 58. He is over 60 now, already retired ni investment lawyer mkubwa, amefungua law firm yake pale home kwake na anamalizia Ph.D yake ya tatu ya sheria!.
 
Please do not curse!
Wabe, Sisi Wakristu dini yetu hairuhusu ku curse "usihukumu usije ukahukuniwa".
Ninachofanya mimi ni kumulika tuu outside the box kama trend reader.

Niliwahi kuwaambia CCM wanashinda chaguzi sio kwa sababu wanapendwa sana, bali wanachaguliwa kwa mazoea tuu ila sasa imefika mahali CCM imechokwa na nikaeleza jinsi Makamba (Snr) alivyo liability, nikashauri bila mageuzi ya kuipunguza dependence kwenye ile spent force yao na kuikumbatia dot com generation, then 2015 CCM iko kwenye loosing side. Sote tunaona kinachoendelea ndani ya CCM!.

Niliwaambia Chadema wasijivunie ushindi walioupata kwenye baadhi ya majimbo kwa kudhani wana wabunge mahiri, wamepata baadhi ya majimbo kwa sababu tuu watu wameichoka CCM na kuwaambia wazi ni kweli wana wabunge mahiri lakini pia baadhi ya wabunge wake ni weupe tuu!. Nikawaeleza Chadema Watanzania wameichoka CCM na sasa wanatafuta chama mbadala cha kukiaminia wakipe nchi, lakini Chadema hawajipanga kimkakati kuchukua dola 2015. Nikawashauri ushindi wa uchaguzi ili kuchukua dola ni kama kujipanga kupigana vita, ushindi haupatikani kwa kuwa na silaha kali kama kina Zitto, Lissu, Mnyika etc pekee, bali ni right strategies on a right time ambazo wakati ni sasa. Nikasema strategies hizo zijaziona licha ya chama hicho kushehenezwa na ma- stategists kibao!. Bado sijaiona mipango mkakati ya Chadema kutwaa dola 2015!1. Nikawaambia tabia za kususa susa ni tabia za kike na ni wrong moves na kusisitiza wasikalie tuu maandamano, kama wanadhani 2015 bado ni mbali, they are very wrong!.

Tena nikawaonya Chadema kuwa kama uchaguzi wa 2015 wana bank on Mabadiliko ya Katiba, they will be very wrong. CCM wana wa dupe kwa delaying tactics by the time katiba mpya inapatikana ni June 2015!. Time will be too little too late kufanya anything worthwhile!.

Manazi wa Chadema ambao wametamalaki humu JF kama sebuleni kwao, walinishukia kwa kila aina ya matukano!. Nikawaambia mimi ni trend reader tuu, nasubiri hiyo December 2015 tuje kusikia tena humu humu jukwaani watu wakija kulia lia tena!.
 

Just joking my dear!!

Mtatiro siyo kuwa namtetea ananifahamu vizuri tu na nilimwonya sigombee ubungo kwa mnyika ila aende kwa Azan, hakusikia!!. HAikuwa busara wala akili kugombea na Mnyika wakati wote mko boti moja la ukombozi. Na Mnyika aliishaanza siku nyingi kugombea pale. While you think I am advocating him, I am extending discussion for him to decide anything from bottom of his heart!

cheers
 
mkuu najua unajisikia vibaya kutokana na halisi inayoendelea sasa hivi cuf'do something bro'tuna safari ndefu ya kuikomboa ncchi yetu
 
Muungano wowote ulio na maswali yasiyo na majibu huwasumbua wale ambao hawakutegemea kitu hicho kutokea. Sasa huyo comrade atakuwa ana shida ya kuuelezea na kuufanyia kazi. Hata maswali anatoulizwa ni mzigo mzito pamoja na weledi wake. Yeye apime safari hii itamfikisha wapi, akizingatia malengo aliyojiwekea binafsi kuhusu nchi yake Tanzania.
 
Kikubwa kinachomuua zaidi CUF kuna udini maana kila mwana cuf makini lazima awe muislam hiyo haina ubishi. kila mwenye macho anaona kuwa hicho chama hakina sura ya kukomboa nchi ila kipo kwa ajili ya masilahi ya waislam sana.

We ndito.. Ongea kitu ambacho una uhakika nacho na si kubahatisha hapa,huyo julius mwenyewe ni mkristu pure,dhehebu lake ni roman catholic.so unaposema cuf ni chama cha cha udini hainiingii akilini hata kidogo.au mkimuona ile alama kwenye paji la uso ndo unadhani atakuwa ni muislam?no,ile alama alikuwa anasumbuliwa na chunusi tu kwa mda mrefu,ilivyopona ndo likabaki lile kovu.jaribu kulifanyia jambo uchunguzi ndo uongee humu,usilopoke
 
We Biera acha tumkumbuke jemedari huyu anayepotelea kwa wanafki, director endeleaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
mtatiro tutembelee kidogo hapa jf,nini kinaendelea kwenye kambi yako mkuu??
 
Ungesema tu wewe ni shabiki wa chadema basi tungejua

Ni maoni pia umejitahidi..

Lakini CUF ndio chama makini cha upinzania tanzania

Chadema bila kanisa hakuna kitu

CUF bila uislam/BAKWATA na jumuia za kiislam haipo
 
Nafanya tuu rejea niliwahi kusema nini kumhusu mtu huyu aitwae Julius Mtatiro, nikiangalia nilisema lini na kureflect nini kinachotokea leo ili ku determine nini kitatokea kesho! .
Pasco
 
Nafanya tuu rejea niliwahi kusema nini kumhusu mtu huyu aitwae Julius Mtatiro, nikiangalia nilisema lini na kureflect nini kinachotokea leo ili ku determine nini kitatokea kesho! .
Pasco
Na hiyo issue ya milioni 50 ndio iliomuondoa unaibu katibu mkuu
Yule Nshomile nae aliwahi kuwa NKM akapiga za ruzuku,sasa ni mkurugenzi wa fedha na Mtatiro mwenyekiti,Messi na Neymarjr hao
 
Nafanya tuu rejea niliwahi kusema nini kumhusu mtu huyu aitwae Julius Mtatiro, nikiangalia nilisema lini na kureflect nini kinachotokea leo ili ku determine nini kitatokea kesho! .
Pasco
Pasco buana. Mbona aliachia ngazi sasa? Halafu hao chadema unaosema wana uchungu na nchi na umaskini wake ni nani na nani? Una masihara sana wewe
 
Please do not curse!


huyu pasco ni mwepesi wa kuwaambia wenzake WADINI lakini huwa anasahau anaandika kitu gani . Ukimsoma vizuri utagundua yeye ndiye mdini nambari moja
 
Nafanya tuu rejea niliwahi kusema nini kumhusu mtu huyu aitwae Julius Mtatiro, nikiangalia nilisema lini na kureflect nini kinachotokea leo ili ku determine nini kitatokea kesho! .
Pasco

Pasco bhuana, wakati mwingine unatumiwa na wewe, naona umeanzisha kauzi kule ukaona hakina wachangiaji ilibidi ufukunyue uzi wa zamani
 
najikumbusha tuu
Pasco
 
Nafanya rejea tuu
Pasco
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…