computer yangu imegoma kuwaka!

computer yangu imegoma kuwaka!

Zima komputa yako wakati unaiwasha bonyesha f8 kabla haija boot. Kisha isikilizie kama sekunde kumi hivi kisha chagua save model kaka nipe majibu. Kama ikiboot kabla ya hizo sekunde kumi ujue ni hardware problem
 
Back
Top Bottom