Computer science ni sahihi kweli?

Computer science ni sahihi kweli?

ndugu yangu my bro kasoma huo uchafu tena ni networking and progmamming ata hyo degree hajafikia bt yuko fiti kwanza hajaajiliwa na hana uo mpango yeye anafanya kazi tu ukimuuitaji miezi kadhaa tulikuwa tunaseti vitu BOT-MTWARA BRANCH kapiga pesa mpaka sio vizuri we kakaze tu man uwe fiti maana unaweza ukarudi unajua kuwasha na kuzima PC yako hila kazi zipo kibaooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom