KasomaJr
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 368
- 144
Habari zenu wataalamu wa Computer na IT. Nina hitaji msaada wa haraka sana, mtu ambaye andhani ni expert na amebobea kwenye fani hizi ani PM kwa maelezo zaidi. Hakika shida yangu akiifanikisha nitam-reward handsomely.
Mwisho natafuta namba ya "Mtazamaji" nimejaribu kum-pm lakini seem hayupo active kwa muda mrefu au alibadirisha ID yake.
Mwenye contact zake ani PM pia.
Asanteni sana na nina subiri response zenu.
Mdau mwenzenu JF.