Msaada wa haraka"COMPUTER ENGINEERING" india

web engineer

Member
Mar 19, 2012
55
0
Jamani naomba msaada wa haraka.
Nina dogo wangu nataka nimpeleke india kusoma Bachelor ya computer engineering,kwasababu anauweza.One of his project www.Nitafute.In

naombeni msaada kuhusu chuo kizuri na affordable huko india.
Asanteni
 
Bila shaka utakuwa ushapata PM nyingi sana maana vijana wa India hawawezi kuacha US $500 ikapita hivi hivi...kama bado ni-pm mimi..nitakuuunganisha na vijana huko Bangalore.
 
Back
Top Bottom