Computer iko conected lakini browsing hakuna

Computer iko conected lakini browsing hakuna

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,120
Reaction score
5,119
Wadau PC ya mwenzangu imekwama!!Iko fully connected kwenye internet lakini browsing inashindikana,nisaidieni wadau
 
pia iinawezekana spid ya net ipo veryyyyyy slowwwwwww....
 
Kama unatumia modem angalia salio hii inatokea sana...
 
~start
~Run
~Type CMD
~Type tracert google.com then share result tutakupa majibu
 
"unable to resolve target sustem google.com" Ndilo jibu nililopata
maana yake kuna kitu kinazuia...hiyo net unatoa wapi...i mean ni modem, wireless au ethernet connection? kama si modem jaribu kuforce ip adress inayoendana na network yako kwa kuweka dns server sahihi..
 
Ajabu ni kuwa jamaa wa TTCL walituachia kipande cha cable na baada ya kuunganisha kwa cable nimeweza ku browse,nahisi shida itakuwa kwa wireless ambayo inaonyesha iko connected
 
Ajabu ni kuwa jamaa wa TTCL walituachia kipande cha cable na baada ya kuunganisha kwa cable nimeweza ku browse,nahisi shida itakuwa kwa wireless ambayo inaonyesha iko connected

Ni router gani unayotumia? ingia kwenye hiyo router uangalie vizuri config ulizoweka!
 
Ingia kwa kutumia browser yako, 192.168.1.1, default user name admin, password admin, huko ndiyo utafanya config zako
Ngoja nijaribu na nitarudi kwako baadae au kesho asubuhi
 
Back
Top Bottom