LIGEDENGE 1
Senior Member
- Nov 15, 2013
- 184
- 29
mwanzo ilikuwa safi,ila kuanzia juzi modem ikichomekwa kwenye port inatoa ishara kuwa imekubali kwa kuwaka taa yake Ila kwenye screen haionekani.tatizo nini wadau? na net sipati

Hiyo itakuwa driver imecorrupt so inabidi urestore backup kama ulibackup before au uingize bootable disc ya windows yako halafu ufanye repairing.