Msaada Modem haisomi kwenye Computer

knows

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,403
2,006
Habar wakuu
Natumaini nyote wazima
Wakuu naombeni msaa kwa wataalamu na ujuzi wa computer jana nimetoka kununua modem mpya kabsa lakin nilivofika home niichomeke kwa computer yangu haisomi kwenye my computer kule ndani ili niweze kuiinstall nitumie kwa internet lakin ukiichomeka kwenye port pale unaiskia sound ya kusoma kama vile unavoingiza frash lakin ukija kusubilia haisomi .
Naombe msaada wenu wakuu
Mungu awabariki
 
Peleka hii thread jukwaa la tech kule kuna kina CHIEF MKWAWA wakusaidie.
 
Habar wakuu
Natumaini nyote wazima
Wakuu naombeni msaa kwa wataalamu na ujuzi wa computer jana nimetoka kununua modem mpya kabsa lakin nilivofika home niichomeke kwa computer yangu haisomi kwenye my computer kule ndani ili niweze kuiinstall nitumie kwa internet lakin ukiichomeka kwenye port pale unaiskia sound ya kusoma kama vile unavoingiza frash lakin ukija kusubilia haisomi .
Naombe msaada wenu wakuu
Mungu awabariki
Taja aina ya Modem au weka hata picha ilivyo na pia mtandao wa simu unaotumia. Mwishoni taja na OS ya PC yako
 
LTE si aina ya Modem hebu piga picha, na pia nijue unatumia windows ipi?

image-2023-06-29-21:04:05-232.jpg

Window natumia 10 pro
 
Kumbe nilikuwa sijajua sasa unaconnectije mkuu
Ukichomeka basi tu inakuwa connected direct, angalia taskbar yako sehemi ya jirani na saa utaona kama ipo connected au la.

Ila Ukihitaji kuifanya configuration zaidi kama kubadili Wifi password na Wifi name upande wa nyuma wa hiyo modem utaona Ip address, unachukia hizo na kuziingiza kwenye browser itakuja option ya username na password. Weka username admin na password admin.
 
Kuna kialama cha frash kinatokea
 
Hii modem haiitaji installation ya software, configurations zote unafanyia kwa WEBUI yake, em connect WiFi yake angalia imeandikwa 4G-UFI-XX default password yake weka 123456789 connect hiyo WiFi utumie kama haitaki ku connect kawaida..

Sasa kama unataka ku change SSID (jina la WiFi) yake na Password nenda kwenye browser kisha andika hii IP Address 192.168.100.1 itakuja login page username andika admin na password ni admin kisha login then fanya configurations zako unavyotaka, utabadili jina la Wifi yako na password, utaiforce isome 3G Only/4G Only kama ina uwezo wa kuonesha feature ya kusomea meseji pia utaona pia utaweza hata kuhide SSID yako...
 
Ni rahisi sana, chomeka hio modem halafu kwenye browser kama chrome ingiza hizo namba zilizoanzia 192, mfano kwenye hii modem ni 192.168.100.1

1688080225643.png

waweza kucheki video hii kwa kuifatisha

NETGEAR Support
How to configure APN settings for 4G LTE Modems

For most service providers 4G LTE Modems will auto detect APN settings but in some rare occasions you will need to configure APN settings before you can access the Internet. You must get the APN (Access Point Name) settings from your mobile Internet service provider before doing this. This article provides steps on how to configure APN settings on your 4G LTE Modem.

To configure an APN for 4G LTE Modem:

  1. Launch a web browser from a device that is connected to the modem. The device can be a computer that is directly connected to the modem or a client from a router that is connected to the modem.
  2. In the address field of your web browser, enter http://192.168.5.1.
  3. In the Sign In field, enter the modem password and click the Sign In button. The default password is password (case-sensitive).
  4. Select Settings > Mobile > APN.
  5. To add a custom APN profile, click the Add button.
  6. Enter the settings for the new APN profile and click the Save button.
    You have successfully configured an APN for your 4G LTE Modem.

  7. How to configure APN settings for 4G LTE Modems
Ili kusanidi APN kwa Modem ya 4G LTE:
Fungua kivinjari kutoka kwa kifaa ambacho kimeunganishwa kwenye modem. Kifaa kinaweza kuwa kompyuta ambayo imeunganishwa moja kwa moja na modem au mteja kutoka kwa router ambayo imeunganishwa kwenye modem.
Katika sehemu ya anwani ya kivinjari chako cha wavuti, ingiza http://192.168.5.1.
Katika uwanja wa Ingia, ingiza nenosiri la modem na ubofye kitufe cha Ingia. Nenosiri chaguo-msingi ni nenosiri (nyeti kwa kesi).
Chagua Mipangilio > Simu > APN.
Ili kuongeza wasifu maalum wa APN, bofya kitufe cha Ongeza.
Ingiza mipangilio ya wasifu mpya wa APN na ubofye kitufe cha Hifadhi.
Umefanikiwa kusanidi APN kwa Modem yako ya 4G LTE.

Back
Top Bottom