Computer eng. V/S Telecom eng. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Computer eng. V/S Telecom eng.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by The_Emperor, Mar 31, 2012.

 1. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wadau,ninaomba kupata ufafanuzi kuhusu soko la ajira kati ya fields hizo mbili za engineering.Ipi ni marketable kwa sasa?
   
 2. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hamna kitu kama Computer Engineering. Labda tu kama na wewe unataka kuwa Mhandisi wa KATA.

  Utauziwa paka kwenye gunia kijana.
   
 3. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mdau,mhandisi wa kata ndo yukoje?
   
 4. Decapitator

  Decapitator JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 312
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kwan uandisi ni telecom na comp
  may be u should opt for something alse
  soko lsha converge bwana mkubwa
  check vitu kama textile engineering na vingine
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Kama unao msuli mnene piga Telecom maana itakutoa zaidi ingawa unaweza pata maporini sana ku manage network hasa transmission....kwa sasa piga telecom
   
 6. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Thanx,bt nahitaji moja kati ya hizo nilizotaja hapo juu.
   
 7. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Yaani katika yote umeona hiyo joke peke yake. Wewe kweli huna shida.
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mwenzetu umeisha jua kuwa utafaulu kwenye matokeo yako ya form 6?
   
 9. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ndugu nieleweshe,sijakupata vizuri.
   
 10. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Soma TELECOM ENG.
   
 11. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Soma Civil Engineering.
   
 12. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  dogo fanya mpango uende udsm ukaulize kuhusu hizo field mbili achana na story za vijiweni, kama unataka kutoka ki-life wewe piga Textile engineering, actuarial science au computer science hizo ni udsm. Kama unataka ardhi,mzumbe na sua sema upewe ushauri. Telecom kwa sasa labda usome uwe tutorial asistant lakini ajira zake sio nzuri kwa sasa tofauti na enzi zile maana wengi wanamaliza wanakuwa wajasiriamali mpaka watoke nyundo kibao huku wenzao waliopiga course za 3 yrs wana-drive magari tu mjini na ajira motomoto

  kuhusu computer eng haina tofauti na computer science ila wanafunzi wa bongo wanapenda ku-complicate maisha ila wakifika mwaka wa tatu wanajuta duh ningejua ningechukua computer science (cos). Halafu we bado dogo ujui vitu so unapopewa ushauri usiwe na ghadhabu just read and interprete the advices very careful cuz it all about your career and your life as well.
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  ebu mshauri na hzo za ardhi na Sua?
   
 14. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Mkuu umeua hapa
   
 15. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  hiyo chaka
   
 16. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkubwa nimekuelewa.Uzidi kubarikiwa.
   
 17. M

  Mjaidina Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  somea migod dogo wazee wa mawe
   
 18. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Mdogo wangu mimi ni mdau wa coict/coet najua vizuri sana hizo kozi.
  Mi nakushauri usome comp eng maana iko katikati kati ya comp sci na telecom.
  kama utapenda networks basi mwaka wa tatu na nne utaopt networks au kozi za telecom na kama utatokea ukawa kipanga darasani basi utasukuma code na utaopt kozi za comp sci.
  Cha ajabu ambacho nimekisoma sokoni ukisoma comp eng unaweza kuwa transmission eng au programmer au network eng.. Kwa kifupi Comp Eng itakuweka katika wakati mzuri kwenye ajira. Halafu kama kazi zinatoka kampuni za simu,transmission au mengine yahusio utajikuta unafaaa kila kona mdogo wangu.
  Usisome kitu so specific kiasi kwamba utashindwa ku move btwn fields before specilization.
  All the Best kaka
   
 19. G

  GHANI JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Chukua tele dogo.
   
 20. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Soma Computer Science...unless kama unataka ujiko wa kuitwa Engineer so and so...:smile-big:....nafikiri ukisoma Computer Science na ukajaribu kufanya vizuri darasani lakini pia kuchukua muda wako kujifunza programming na skills nyingine tofauti tofauti basi unaweza kukamata ajira nzuri na kufanikiwa sana tu!
   
Loading...