Pax ni kweli uko saint Jose? maana pale wana kozi ya kihindi inaitwa Comp Scie Engineering ni BE. sasa sijui computer appln au science ya songea unasema.
Halafu mind u, american universities kama florida,iowa ukiomba comp eng utatakiwa kuchagua ya either electrical au software eng.
Ni ngumu kupata kama ulisoma a normal degree ya comp science. Hizo kozi ulizosema ndio roho ya engineering kabisa.
Emperor nimempa the best option i can hold in my heart for my society.
aende UDSM akapewe dawa za ukweli na kina bagile,haule,kisaka na wengine.
Atakuwa bora if he is smart enough to compete in EA market
Elieskie! kwa nini umesita mpaka unasema ni kwel upo st.? na kwa nini unasema comput sci ya kihindi?
okay nipo St. J ya Songea its a 4 year programe and am pursuing a bachelor in computr science.
hapa diploma ndo inaitwa dip in comp application na ni 3 yrs programme.
Kuhusu U.S hasa Columbia university na Massachussets Inst of Tech nimefuatilia kwa karibu sana na wana sheria yao moja ambayo naipenda sana inamtaja mtu aliyesoma comptr science from a four-years college ana chance kubwa ya kujoin nao hasa kwa international student.
Kwa hapa St. Joseph mtu wa computer science anaweza kufanya elective tatu kati ya:-
- Artificial intelligence
- Cryptography
- Advance DBMS
- Software project management
- Object oriented Analysis and Design
- Mobile Computing
- Advanced Java programming
- E Commerce
- Multmedia
- Internet programming
- Cost Accounting na
- Marketing Management.
Hivyo kwa majimbo uliyoyaja ya U.S it depends chuo gani utaenda na uli fanya elective gan kati ya hzo hapo juu.
Software engineering ni option tu but unaweza hata ukasoma something different from it.
What I know mtu wa komputa sayansi hakuna asilokuwa na idea nalo kabisa abt a PC. Isipokuwa ni lazma awe amebobea ktk fani fulan ndani ya computer science.
Dat mean Telcom eng ina fall under communication or Data communication and networking so telcom mtu anakuwa specific sana anaweza hata asijue web tech, database, data sturcture, computer archtecture, installations of a Pc, Financial accounting, C, C++, VB, java Microprocessor, system s/w, Operating system, principles of management na Total quality management.
ambapo mtu wa computer science lazma apitie yote hayo.
Huyu jamaa awaone St. Joseph au DIT watamfaa sana. also COET au MIST au RUCO.
but kwa computer science omba usome St. Joseph au DIT kwa hapa Tanzania.
I just appreciate them kwa hii kozi.