exit JF-Expert Member Joined Feb 14, 2013 Posts 1,670 Reaction score 1,812 Jun 15, 2016 #21 Hao wezi wote yani wameiba nguo na simu tu, hakuna aliyeiba msosi ahah. Wanawake kweli wanapenda simu nzuri na kuvaa tu. ....
Hao wezi wote yani wameiba nguo na simu tu, hakuna aliyeiba msosi ahah. Wanawake kweli wanapenda simu nzuri na kuvaa tu. ....
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,002 Reaction score 15,075 Jun 16, 2016 #22 Daah so sad aisee...
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Jun 17, 2016 #23 mshana jr said: Nakutakia mfungo mwema rafiki Click to expand... Shukraan sana mshana jr
K kahuta da king Member Joined Jun 18, 2016 Posts 6 Reaction score 4 Jun 18, 2016 #24 Kumbe vinajiremba Kumbe majizi
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Jun 19, 2016 #25 Inasikitisha sana mwanamke kuwa mwizi.!
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,123 Reaction score 54,370 Jun 19, 2016 #26 mshana jr said: Duu wanawake wanajua kutukana sehemu zao za ndoa Click to expand... Yeye ni mama lakini anataja ya mama mwenzie
mshana jr said: Duu wanawake wanajua kutukana sehemu zao za ndoa Click to expand... Yeye ni mama lakini anataja ya mama mwenzie
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 373,352 Reaction score 865,011 Jun 19, 2016 #27 Mtoto halali na hela said: Yeye ni mama lakini anataja ya mama mwenzie Click to expand... Mpaka nikaogopa
Mtoto halali na hela said: Yeye ni mama lakini anataja ya mama mwenzie Click to expand... Mpaka nikaogopa