Comparing: Lowassa vs Pinda

ukitazama kwa kina nchi hii imefunikwa na wingu lisislojulikana.
staki kuamini kwamba pinda ma lowasa hawaoni haya, wala sitak kuamin kwamba nchi imewashinda ila naamin wanataka kutuonyesha kwamba kikilika basi wao watasepa na watoto wao sie maskini tutakufa kama mbu.
 
Pinda hmna kitu, tena ngoja nikae kimya maana anaeza kuanza kulia sasa hivi..
 
Japo mimi siyo mshabiki wa hao mawaziri wakuu wote ila kwa hapa itabidi nimtetee Pinda kidogo. Siyo kwamba siyo dhaifu lakini nadhani unapo mlinganisha Pinda na Lowasa kuna vitu lazima uelewe na utajua kwa nini Lowasa walau alikua ana sauti zaidi kiutendaji.

1. Lowasa ni rafiki na Kikwete tena tokea zamani. Kama Lowasa alivyo sema wakati fulani kuwa yeye na Kikwete "hatukutana barabarani. Hivyo basi urafiki huo wa muda mrefu wa Lowasa na Kikwete ungeweza kumpa sauti zaidi kwenye serikali.

2. Pesa za Lowasa ndizo zilizo gharamia kampeni ya Kikwete. Money is power. Ni dhahiri mtu alie kusaidia kwa kiasi kikubwa kupata uraisi atakua na nguvu kubwa kuliko mtu ambae hakukusaidia.

3. Pinda uwaziri mkuu ni wa kibahati na hii ndiyo sababu kubwa ya yeye kukosa nguvu. Mtu ambae kapata uwaziri mkuu kwa sababu ya nguvu ya kisiasa (political capital) lazima awe na sauti kubwa kuliko mtu aliezawadiwa cheo. Pinda haku pigania uwaziri mkuu umemuangukia. Kwa hiyo ni mtu tokea mwanzo ambae alikua hana nguvu kisiasa.

Kwa hiyo wakuu Pinda asingeweza kuja kuwa na nguvu ya kisiasa. He is not ambitious enough na ndiyo maana hata sasa ambapo kasha kuwa waziri mkuu kwa miaka kadhaa wala haja jijenga kisiasa. Ni mtu ambae alikua kasha ridhika na ubunge ikatokea tu hii bahati.
 
hamna kipindi kibaya cha uongozi kama awamu ya pili serikalini kwa sababu viongozi wengi akiwemo rais anajua hii ni awamu yangu ya mwisho so wacha niibe nipange future yangu na familia yangu vizuri kabla mda haujafika...unafikiri watakua na muda na wananchi? sasa JK yuko bize anatengeneza mikataba ya madini,gas na mafuta anajipanga vizuri ili akiondoka ajue yeye wanawe na ukoo mzima uko vizuri mpaka wanakufa, ongeeni, piganeni, raruaneni yeye hajali anaangalia chake sasa hivi...
 
Nakubaliana na wewe. Pia huyo Paschal anapomlalamikia Pinda kuwa kimya sijui nia yake ni ipi kwani katika matukio yote ya makanisa kuchomwa moto, kifo cha RPC, etc. M.k.w.e.r.e alishayatolea matamko kabla ya kusepa zake Oman kwa Waislamu wenzie. Sasa Pinda angetoa tamko gani tena ambalo lingemfariji Paschal zaidi ya matamko ya Bosi wake? Ikumbukwe kuwa, huu Utatu Mtakafujo, M.k.w.e.r.e, Majengo Yaliyo Pinda na Dr. Balaa Hili, ooh sorry Bila Lile, oooops Bilal, wanapeana zamu kukaa hapa nchini. Ukiona M.k.w.e.r.e anatoa matamko ujue Majengo Yaliyopinda yuko saloon UK. Ukiona Mkata Utepe kazindua mradi ujue M.k.w.e.r.e yuko kwenye lori la Farasi Canada. Wameamua hivyo kwani wakibaki wote hapa nchini mwishowe wataingiliana majukumu ndio maana wameamua kugawana zamu za kuwa "Kiongozi wa Shughuli za Serikali". Chezea Kocha M.k.w.e.re. na Timu yake? Haijawahi ku-draw, kila mechi na kushindwa tu!
 


Mkuu point zako zina nguvu na zina ukweli japokuwa ni kweli-nusu
 

Mkuu umeongea point nzito sana - kwamba hatuna mtawala wa nchi sasa hivi. Ni yoyote tu tegemeana na wakati na tukio. Bora Liende Liwalo na Liwe
 
Once Fisadi always Fisadi..... heri ya hiyo mizengwe uliyopinda!

wenzako wanalipwa ghali kumsafisha FISADI LOWASA, lakini hata wamwagie tindikali hatakati.
 
nawe ukamwona huyo fisadi mwandamizi kuwa ndo awezaye kuleta mabadiliko chanya? Watu sikui wana akili gani, jitu limesha waibieni tena zaidi ya mara moja lakini mnazidi kukomaa nalo tu, fikirienni hata walioko nje ya siasa tupo zaidi ya milion 40 bana, bai the wei tanesco wamelipa tozo la dowan kama mahakama ilivo amua? Madeni ya asili hizi yanatuhusu sote na tuache ujinga!!!!!!!
 
ni wazi kuwa LOwasa ni zaidi ya pinda Lowasa kila aliyechin enzi hizo alionja shughuli yake huyu bwana kash:becky:indwa kusuh bei sukali lowasa tatizo ni yaliyomkuta enzi hizo watanzania wanajua uwezo wake wa kusimamia kazi
 
zaidi ni EL, pinda hana cha kupoteza ameisha sema hagombei tena ubunge .pension ya uwaziri mkuu inamtosha. kuna wastaafu wengi serikalini ambao wameongezewa mkataba wa ajira huku wakiwa wamelipwa mafao yao yote.utendaji wao huwa si wenye tija hawana cha kupoteza hawafikirii kupandishwa vyeo hivyo huwa watu hatari kwa taifa , MH PINDA hana kiu tena ya madaraka anashukuru kupata uwaziri mkuu wenye marupurupu kibao.tuwaangalie wastaafu wenye mikataba kwa jicho la tatu.
 
Mie sitaki kuongea ila nakumbuka pinda mara baada tuu ya kuchaguliwa kuwa PM ktk hotubayake alisema hawezi kuvaa kiatu cha Lowasa.
 

anampigia debe 2015
 

"... naona kikwete
amezamilia kabisa
kumpoteza,lakini mie kila
siku nasema kipaji hata
siku moja akipotei"

Nimekukubali mzee kula gwala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…