Compare and Contrast! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Compare and Contrast!

Discussion in 'Great Thinkers' started by Rev. Kishoka, Sep 12, 2010.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  Rev unatoa link kutoka kwenye email yako nini? Picha hazionekani hapa.
   
 3. N

  Njimba Nsalilwe JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 23, 2008
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilifikiri ni mimi peke yangu sioni hizo link. Tafadhari mchungaji hebu tuwekee hapa hizo link.
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  lol, kuna jamaa mmoja nakumbuka alikuwa anafanya hivyo hapa JF, halafu zisipoonekana analalama na kufuka moshi dhidi ya JF!! :)
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Rev, pls try the following:

  -- copy images to your local drive
  -- create a folder/album on your JF profile account
  -- upload image to JF image folder you created
  -- then get image link from folder.
  Method has worked for me before. Pls give it a go.
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  Rev,

  Hizo images hazisemi lolote, na zaidi ya yote, unaweza kutumia images kumuonyesha Stalin kama mtakatifu na mama Theresa kuwa muuaji wa halaiki.

  Kama unataka fluff utapata hapa, lakini serious introspection haiwezi kutokana na hizi images, you should know better.
   
 7. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Kiranga,

  Ukiangalia hizo picha, mmoja anaogopa kuchafuka, mwingine haoni shida kuchafuka.. au mmoja anaogopa kazi na kutoka jasho huku mwinine haogopi kulowesha shati kwa jasho au kulamba vumbi. there goes the message
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hatimaye zimeonekana
   
 9. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kweli kuna tofauti kubwa sana kati ya mwalimu na JK. Mmoja anafanya kazi, mwingine anaigiza. Tofauti iliyoje!!
   
 10. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  Kuna image za Kikwete pia akiingia kwenye mtaro/ kimto jimboni kwake kakunja suruali viatu kashika mkononi, ilikuwapo Michuzi. My point ni kwamba mtu anaweza kuchagua picha yoyote itakayotoa message anayotaka kuisema.

  Na wengine watasema hapo swala si kwamba Nyerere hakuogopa kuchafuka, swala ni kwamba ametaka kuchafuka kirahisi wakati alternative ya kutochafuka ipo, kwamba Nyerere hakufanya kazi smarter, alikuwa anatumia efforts bila smarts, Kikwete anafanya kazi smarter.

  Sema unachotaka kusema, lakini kutumia picha hizi ni mental masturbation itakayoleta brain farts tu hapa.

  Na simpletons wa kushabikia fluff na propaganda prone imagery huwezi kuwakosa hapa. Lakini wengine tunakataa kuuziwa falsafa nzima ya mtu fulani kwa picha chache zilizochaguliwa vizuri ku fit narrative fulani.
   
 11. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180

  Na matokeo ya Smartness ni....
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  Ukifikiri nasema Kikwete ni smart unakosea, naonyesha ni jinsi gani hizi habari za propaganda ya mapicha zinaweza kuenguliwa kirahisi. One only has to take a picture of Nyerere in a very posh atmosphere and Kikwete slugging it out with wananchi to make a counterclaim. Ridiculously simplistic.

  Kama unataka kum judge Kikwete kutokana na matokeo ya kazi yake, that is quite another matter, na unaweza kuwa objective ukachagua macroeconomic initiatives na social services stagnation ukam murder machete Kikwete vizuri sana, hata Nyerere naye.

  Lakini habari za kutaka tufanye comparison na ku contrast watu wamekuwa marais nchi ya mamilioni ya watu, mmoja kwa milongo mwingine kwa miaka mitano, kwa kutumia picha kadhaa, ni mchezo wa kitoto.

  Ndiyo maana nikasema sema unachotaka kusema, hii habari za ku cherry pick picha fulani mimi naiona ni propaganda mbaya zaidi kuliko kitu cha ukweli.

  The whole thing is so simple to make any sense to any thinking person.
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Mzee alikuwa mjenga nchi bwana achaneni na huyu mkwere tulonaye kwasasa!
   
 14. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Wewe ni bingwa wa fasihi, so the idea of presenting the pictures and ask for comparing and contrasting is not confined to the kuchafuka kwa kushika jembe. Sasa I would have hope kuwa wewe Esopo wetu ungeangalia kwenye lile nilolosema woga wa kuchafuka na si kusema smarter stuff.

  By stating ouga wa kazi au kuchafuka na kutumia picha hiyom could ean athousand things to paint Kikwete as weak president ambaye anaogopa kufanya kazi, anaogopa kukwaruzana kila kitu ni kukwepa wajibu, is that smart?

  Hivyo sikutuma picha kwa ajili ya cheap politics au fluff as you state, youu know better than that comrade!
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  Watanzania na Nyerere ni kama mtu na kipenzi chake cha kwanza, au mwanamke na mpenzi wake aliyembikiri.

  Kuna nostalgic effect fulani itakayotufanya wengi wetu - ambao kwa wingi tulikuwa wadogo sana enzi za Nyerere- tumuone Nyerere kama nabii.

  Ila ukweli ni kwamba angalau Nyerere alikuwa a bonafide intellectual aliyeweza kusimama na kujibizana na kina Thatcher na Reagan. Hata Mkapa anaeleweka kimataifa. Kikwete ni midget. Hata ku chat na Obama anahitaji notes. Pengine ni ubovu wa kung'ang'ania urais wakati mtu mgonjwa.

  At the end of the day, baada ya ma giant, milima Kilimanjaro, vichuguu na ma midget, nchi yetu masikini ajabu.

  In short wote wame fail.

  Nyerere angeelimisha watu vya kutosha mtu asiyeelimika kama Kikwete asingeweza kuwa rais, kwa hiyo kwa aina moja au nyingie kushindwa kazi kwa Kikwete kunaendana na kushindwa kazi kwa Nyerere na wala huwezi kuvitenganisha hivi viwili.
   
 16. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  Call a spade a spade, don't bring us a picture of a spoon and expect us to see a spade. You will not only be ruining your credibility, but also you will be shortchanging and ridiculing your own positions.
   
 17. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Excellent insight. I share the same opinion... allowing people like JK to reach the top echelon reflects poorly on the party's existing checks and balances ....
   
 18. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,468
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Nafikiri unakwenda mbali zaidi,hizo slides mbali mbali zimepigwa wakati tofauti na watu tofauti.Zikionyesha viongozi wakuu wawili katika shughuli za kujenga taifa letu la Tanzania kwa muda tofauti.Unapoziangalia halafu ukatoa conclusion kwamba ni cheap politics sikuelewi, inaonekana umekariri jibu lakini njia za kufanya swali ni shida.
   
Loading...