Company ya Samsung smartphone

Company ya Samsung smartphone

sangaedo

Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
30
Reaction score
6
Habari zenu wote wanajf naomba nieleweshwe juu ya company hii Simu zake asilimia kubwa vioo vyake (screen) mbona hupasuka sana ni rafiki zangu wengi wanazo na screen zao wote zimepasuka aidha kipande kidogo au michirizi na tofauti na company zingine sasa cjui matunzo ni hafifu au company inachakachua screen naomba Kuwasilisha kwa wataalam mnisaidie nijue
 
Mi naona bora ununue hizo za company nyingine tu ambazo hazipasuki vioo vyake.
 
Kati ya watu kumi wanaomiliki Tecno, wanne kati yao vioo vimepasuka.
 
Yangu ninayo mwaka wa tatu na haijapasuka.....sijui unataka kusemaje
 
mi pia nimeshuhudia kitu kama hicho,tatzo sjui nn,ikianguka screen kwaherin
 
Habari zenu wote wanajf naomba nieleweshwe juu ya company hii Simu zake asilimia kubwa vioo vyake (screen) mbona hupasuka sana ni rafiki zangu wengi wanazo na screen zao wote zimepasuka aidha kipande kidogo au michirizi na tofauti na company zingine sasa cjui matunzo ni hafifu au company inachakachua screen naomba Kuwasilisha kwa wataalam mnisaidie nijue

Mkuu Simu nyingi za samsung ni feki au clone, ndo maana hazidumu. Pia matunzo hafifu yanachangia. Vizuri simu uweke flip cover.
 
Kama unataka simu isiyopasuka kioo nunua iphone
 
Habari zenu wote wanajf naomba nieleweshwe juu ya company hii Simu zake asilimia kubwa vioo vyake (screen) mbona hupasuka sana ni rafiki zangu wengi wanazo na screen zao wote zimepasuka aidha kipande kidogo au michirizi na tofauti na company zingine sasa cjui matunzo ni hafifu au company inachakachua screen naomba Kuwasilisha kwa wataalam mnisaidie nijue

Unatakiwa kuweka screen protector na zinapatikana kwa bei nafuu sana
 
tatizo ni matunzo watu wanaangusha simu sana ndio maana nyingi zinapasuka kioo

Pamoja na hilo lakini simu za iphone ni ngumu mno kupasuka kioo labda uipasue na nyundo kama ulivosema
 
Back
Top Bottom