Bei ilochangamka mwenzake na kina jagger na jd unaita maji, ushawahii kuona nakunywa takataka min😂Hii ni bei ngap? Inalewesha au maji matupu?
Hivi imekaaje kiongozisisi huku huduma tuliyo nayo ni ya "short time aftatu, kulala ten"
hayo mengine ni ya wazungu tu
fika hapa manzese, uwanja wa fisi au kimboka ujipatie huduma hiyo saafi kabisaHivi imekaaje kiongozi
Nachukia kununua kitu ya gharama halafu isipande kama takataka ya kuitwa Hennessy ni maji matupuBei ilochangamka mwenzake na kina jagger na jd unaita maji, ushawahii kuona nakunywa takataka min😂
Wanachelewesha mahusiano na ndoa kwa ajili ya taaluma.Kwani vijana wa kike nao hawapo?
Labda ulishikikishwa fake, henessy haichekeshi! jaribu na martelli.Nachukia kununua kitu ya gharama kama halafu isipande kama takataka ya kuitwa Hennessy ni maji matupu
Duka la kuaminika la pombe kali kabisa, ile kitu nakunywa kama maji hamna kitu muleLabda ulishikikishwa fake, henessy haichekeshi! jaribu na martelli.
Societal expectation ni kubwa mno,Wanachelewesha mahusiano na ndoa kwa ajili ya taaluma.
shwaaaaAu unaweza mpata mtekaji 😅
mjini kila kitu kipo kasoro uhai tu😀😀Amehlo,
Tutazungumza kwa kina zaidi.
Watu mna siri sana
Kuna kauli moja hivi huwa naisikiamjini kila kitu kipo kasoro uhai tu😀😀
ewaaaaaKuna kauli moja hivi huwa naisikia
"Ongea na watu vizuri"
Mm n per day napiga 200k, Sio kwamba kila siku nitapata mtejaUnakunja ngapi a day/month and a year fam?
🤣🤣Kwa hili wimbi la wagonjwa wa afya akili , unaweza jiokotea mwehu , likapandwa na wazimu hata likakunyongea mbali
Broo naomba nitumie Avatar yako.Kabisaa, or else ingekuwa vichekesho humu.. ukitaka kujua kuna machizi freshy jaribu kujiengage na watu bila kuchagua, utawaelewa why wazungu wako makini sana na taarifa zao binafsi! kuna psycho wanapelekesha!
Tanzania tynavyopenda ngono, ukiweka hiyo, watu watadinyana mpaka basi.JE, TANZANIA KUNA HUDUMA YA “COMPANION FOR HIRE”? 🇹🇿
Nimekutana na huduma moja inayopatikana Japan ambayo imenifanya nijiulize kama kitu kama hiki kipo Tanzania.
Japan kuna huduma zinazojulikana kama “Rental Friend”, “Rental Girlfriend/Boyfriend” au “Companion for Hire.” Kwa ufupi, mtu analipia muda wa kuwa na companion ambaye anaweza kumsindikiza kwa shughuli mbalimbali—mfano kwenda kula, kutembea, sightseeing, shopping, kwenda event, kuzungumza au hata kumsaidia mtu asiwe peke yake.
Haimaanishi lazima iwe huduma ya ngono au relationship halisi. Baadhi ya kampuni huweka mipaka wazi kabisa kwamba ni companionship tu, na huduma inaweza kuwa ya saa kadhaa au siku nzima.
Mfano, mtu akiwa Tokyo peke yake anaweza kusema:
«“Nataka mtu wa kunisindikiza kwa masaa 4, twende tukale, tutembee mjini na kunisaidia kufurahia siku.”»
Analipia muda huo na huduma iliyokubaliwa.
Sasa swali langu kwa WanaJF ni hili:
👉 Tanzania kuna huduma kama hii ambayo mtu anaweza ku-book companion rasmi kwa muda maalum—kwa ajili ya company, mazungumzo, kwenda event, kula, kutembea au kusafiri?
Kama ipo, imetumia jina gani na inapatikana wapi?
Na kama haipo, je, mtu akitaka tu companionship ya aina hii Tanzania, angeweza kuipata wapi bila kuingia kwenye huduma za dating/escort?
Nataka kujua tu kama concept hii tayari ipo Tanzania au bado ni kitu ambacho hakijaingia kwenye soko letu.
Wajuzi wa hii kitu, tupe uzoefu. 👇View attachment 3650463View attachment 3650464