min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,410
- 164,177
Tutatoka nnje ya mada gadeim😅Elezea kwa kina mekuu
Tutatoka nnje ya mada gadeim😅Elezea kwa kina mekuu
Assume ndio umepatana na company yako ndio zee la maban, senta of attention.Leo unachokunywa ba mnyogode malizia ulog off 😂
Tubaki ndani gadeimTutatoka nnje ya mada gadeim😅
Hilo linakunyonga mapema sana kmmk! mambo ya mitandaoni sio poa kabisa..Assume ndio umepatana na company yako ndio zee la ban, senta of attention.
Package nzima bei gani ?Acha longolongo sema Una sh ngapi? Na eti sio lazima ngono
Nani kasema hataki ngono? Wewe sema unatakaje bna aah
Jf Home Of great thinkers and People with Broad perspective Of LifeCuba kuna Jinetero, sema hawa wamejikita zaidi kwa watalii na wako vizuri upstairs wana elimu ya kutosha
Mapema sana , unaokotwa coco Beach umekufa kibudu.Hilo linakunyonga mapema sana kmmk! mambo ya mitandaoni sio poa kabisa..
Zee la what?Mapema sana , unaokotwa coco Beach umekufa kibudu.
Attention Deficit /Hyperactivity Disorder ?Zee la what?
Attention
Unafahamu ADHD?
Yes , wengi ni wahanga wa hivi disorderAttention Deficit Hyperactivity Disorder ?
Yani mitandao ni kama imeundiwa ma psychopaths, uahitajika umakini wa hali ya juu sana aisee!Mapema sana , unaokotwa coco Beach umekufa kibudu.
Yeah kweli kabsaYes , wengi ni wahanga wa hivi disorder
Tangaza una safari ya wiki mbili Zanzibar au Serengeti, na unalipia kila kitu kuanzia flights, hotel, na unatoa pocket money. DM yako itajaa watu wenye sifa zote za kuwa perfect companion.Elezea in detail mkuu Marcostilone
Mno ,tunamezwa na kusanuka .Yani mitandao ni kama imeundiwa ma psychopaths, uahitajika umakini wa hali ya juu sana aisee!
Mimi mwenyewe kichaa vilevile gladly unanijua vizuri, lakini kuna vichaa wapo kama matahira!Sisi wote ni wehu ila kuna kuzidiana tu😅