Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 5,056
- 9,235
- Thread starter
- #41
Na Anonymity inatusaidia sanaYani mitandao ni kama imeundiwa ma psychopaths, uahitajika umakini wa hali ya juu sana aisee!
Na Anonymity inatusaidia sanaYani mitandao ni kama imeundiwa ma psychopaths, uahitajika umakini wa hali ya juu sana aisee!
Ya kunywa bia imekaaje BwasheeKuna mpaka wazazi wa kukodi
Kabisaa, or else ingekuwa vichekesho humu.. ukitaka kujua kuna machizi freshy jaribu kujiengage na watu bila kuchagua, utawaelewa why wazungu wako makini sana na taarifa zao binafsi! kuna psycho wanapelekesha!Na Anonymity inatusaidia sana
Iko wazi, unalipia vinywaji tuYa kunywa bia imekaaje Bwashee
This happened to me , Nilidate na psycho , Seran hakuna Rangi Niliacha ona, na ako na ADHD , to a pointtu anaweza vidonge , Anajikata Ili kupata attention na kuni keep under her thumb,Kabisaa, or else ingekuwa vichekesho humu.. ukitaka kujua kuna machizi freshy jaribu kujiengage na watu bila kuchagua, utawaelewa why wazungu wako makini sana na taarifa zao binafsi! kuna psycho wanapelekesha!
Ukitoa tangazo bahati mbaya kwa hapo daslamu ushishangae wakaja mil 5 na zaidi😅Iko wazi, unalipia vinywaji tu
Hiyo ipo ya bure huku wanakuita bossYa kunywa bia imekaaje Bwashee
MkuuNa Anonymity inatusaidia sana
Kwamba tajiri hauna baya sioHiyo ipo ya bure huku wanakuita boss
Aisee pole sana hawapishani na narcists nilipata mmoja naona chacters hazipishani! Aisee hao watu wanaweza kukuletea trauma mbaya usiheal any sooner! picha linaanza wanakuja na reverse psychology! Mimi nikiona tu mtu anaanza kulalama lalama kwenye mahusiano namkataa on spot na sigeuzi shingo, yani nikiona dalili hata moja hiyo ni red flag kwangu sipotezi muda!This happened to me , Nilidate na psycho , Seran hakuna Rangi Niliacha ona, na ako na ADHD , to a pointtu anaweza vidonge , Anajikata Ili kupata attention na kuni keep under her thumb,
Manipulation and blackmails za kutosha
Namimi nikiwemo! ila ndio sitotaka tbl, nimeshakuwa kifutu huku najiogopaa 😱Ukitoa tangazo bahati mbaya kwa hapo daslamu ushishangae wakaja mil 5 na zaidi😅
Unatuitia mabox tubebe mkuu..😄
Hahaha tbl tunaipinga kwa wivu mkubwaNamimi nikiwemo! ila ndio sittaka tbl, nimeshakuwa kifutu huku najiogopaa 😱
Niletewe ballentines tafadhali!Hahaha tbl tunaipinga kwa wivu mkubwa
Kwani vijana wa kike nao hawapo?Japan ipo dystopian sana. Idadi ya watu inashuka kwa kasi, wazee ni wengi mno. Vijana wanashinikizwa sana kuwa wasomi na kupata vyeo. Heshima inatokana na elimu na vyeo.
Wajapan wengi wana sonona kali na upweke ndio maana kuna huduma hii. Bongo labda kuna sonona, ila upweke ni kujitakia mwenyewe!
Hii ni bei ngap? Inalewesha au maji matupu?Niletewe ballentines tafadhali!