Commission to check fake goods in homes

Kanyafu Nkanwa

JF-Expert Member
Jul 8, 2010
849
103
Hii bongo inavutuko sana kwa kweli. Yaani hawa watu wameacha bidhaa zimepita bandarini, ati waje kwangu kukagua!? Nahisi ni hadithi tu. Wameacha kukagua dawa fake kwenye pharmacies; watu wanakufa kwakunywa sumu na siyo ugonjwa, wanakuja kwangu ati kukagua. Clean all shops, pharmacies, bars and bookshops. Then come to me.

Source: Daily News | Commission to check fake goods in homes
THE Fair Competition Commission (FCC) plans a countrywide door-to-door hunting of fake goods, an exercise which will see the destruction of such merchandise from retail outlets.

“In the past the law permitted us to confiscate and destroy only the counterfeit goods impounded from ports of entry, precisely the Dar-es-Salaam harbour but that has been amended and now we are free to clear all bogus products from wholesale points, retail stores and even households,” explained Mr Michael Shilla, the Director of Consumers’ protection at FCC.

He said during the ongoing three-day conference on African Dialogue for Consumer Protection that his commission has discovered that more than 40 per cent of consumer goods being imported in the country through Dar-es-Salaam port were counterfeits.

“About 85 per cent of all the Tanzanian imports are shipped through the harbour,” said Mr Shilla, pointing out that FCC wasn’t able to inspect each and every shipment because it usually takes up to three hours to go through a single freight container, yet Dar port handles thousands of those per shipment.

“In the past we were compelled to just conduct a random inspection which means a lot of fake goods continued to infiltrate into Tanzania through much of the uninspected cargo, but now the law has provided us with mandate to track counterfeits in shops and homes. Soon a countrywide sweep will start,” he added.

Fake goods filling retail stores and homes at the moment, he said, include electronic products such as Hi-Fis, TVs, Air-conditioners, computer sets and home appliances; medical consignment such as drugs; cosmetics and motorcycles.

On his part, the President of Consumers International, Mr Samuel Ochieng , who also heads the Nairobi-based Consumer Information Network, explained that importation and distribution of fake goods thrive in most parts of Africa due to lack of proper state machinery protecting consumers.

“That is why we are meeting here as heads of all consumer movements and government organs in the continent to address this problem and come out with ultimate solution because it is our people precisely the poor, who eventually suffer the consequences,” he said.

Organized by the Fair Competition Commission (Tanzania) and funded by the United States’ Federal Trade Commission, this is the second Annual African Dialogue for Consumer Protection Conference, the first having taken place in Johannesburg, South Africa last year.

The Arusha event, taking place at Ngurdoto Mountain Lodge conference hall, was officially opened by Ms Mercy Silla, the Meru District Commissioner and acting Regional Commissioner for Arusha.

This year’s theme is ‘Empowering Consumers’ Protection Through Education and Access to Finance. According to Ms Silla, people become gullible to fake goods due to financial constraints that drive them to seek cheap alternatives.
 
Hili la ukaguzi wa ndani ya majumba ya watu ni kuwatafutia wajanja ulaji tu,na hata ukikuta kitu fake nyumbani kwa mtu ambaye kanunua dukani na ana risiti sidhani kisheria wanaweza kukiharibu labda wanirudishie hela yangu wakimbizane na alieniuzia.
 
Hili la ukaguzi wa ndani ya majumba ya watu ni kuwatafutia wajanja ulaji tu,na hata ukikuta kitu fake nyumbani kwa mtu ambaye kanunua dukani na ana risiti sidhani kisheria wanaweza kukiharibu labda wanirudishie hela yangu wakimbizane na alieniuzia.

ni kweli. unakimbiliaje kwenda ndani kwa mtu wakati ndani kwako kuchafu!? waanze madukani huko
 
Hiki kichekesho. Hivi kama wamezidiwa na hawawezi kukagua bidhaa zote zinazopita bandarini hiyo nguvu kazi ya kukagua madukani na majumbani wataipata wapi? Na huo ukaguzi utaenea mpaka wapi? Au ndiyo mwanzo wa kuvamia nyumba za watu kwa nia ya kuwa-victimize au kuomba rushwa? Kwanza kuvamia nyumba ya mtu na kuchukua au kuharibu mali yake halali ni uhalifu na ukiukwaji wa haki za binadamu. It can be challenged in court. Kama kuna mkosaji ni yule aliyeshindwa kuzuia bidhaa feki kuingia nchini au kuwapa taarifa wananchi namna ya kugundua na kuepuka bidhaa feki. Itakuwa ni kumuumiza maskini mara mbili. Kwanza atapoteza pesa zake na pili hatafaidi kile alichonunua. Unategemeaje mtu wa kawaida huko Kasulu haweze kutambua TV feki? Kwake jambo muhimu itakuwa ni unafuu wa bei (kama kweli bidhaa bandia hapa nchini zina unafuu wa bei) ili na yeye aingie kwenye ulimwengu wa kisasa. Mfanyabiashara aliyeingiza hizo bidhaa bandia yeye atabaki anacheka safari nzima hadi benki.
 
Back
Top Bottom