Comments za no reform no election zimeyeyuka mapema mitandaoni

Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election.

Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza kukupa attention online ukafikiri umeshatoboa.

Ghafla bin vuu comments za no reform no election zimeyeyuka. Na utaratibu wa ku-unfollow watu maarufu ukaota mbawa.

Maisha yetu ya kupenda furaha, amani na utulivu yameendelea tushasaau kama dada wa taifa alitoa miezi mitano ya mapambano.

Mjadala wetu ni timu pendwa na Diamond Platnumz ndani ya UK ndio umeibeba online community na vijiwe vya kahawa.

Nachowakubali watanzania ukitaka uwapoteze waingilie mambo yao yenye manufaa kama burudani na shughuli za kutafuta pesa.

Kwa hali hii kuna mtu wa kuzuia uchaguzi? 😅
No Refrms, No elections ni agenda isiyoweza kufutika mpaka malengo yake yatimie. Endleea kupiga tu propaganda. Waambie waliokutuma mwisho wao umefika
 
Ni kampeni ya mtandaoni ya watu wa mtandaoni ,walioiabzisha wengi wao wanakula bata ulaya , mtandao unakuja na news nyingi kila baada ya sekunde , mara simba na yanga , mara diamond , mara mtu katumbuliwa , mara ndege imeanguka , mara iran na israel wanazichapa … yaani ni heka heka, kampeni imejikuta inakufa kibudu
Iran na israel itakua wameanzisha ugomvi Ili kututoa kwenye reli ya mapambano ya no reforms no election,siyo bure
 
Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election.

Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza kukupa attention online ukafikiri umeshatoboa.

Ghafla bin vuu comments za no reform no election zimeyeyuka. Na utaratibu wa ku-unfollow watu maarufu ukaota mbawa.

Maisha yetu ya kupenda furaha, amani na utulivu yameendelea tushasaau kama dada wa taifa alitoa miezi mitano ya mapambano.

Mjadala wetu ni timu pendwa na Diamond Platnumz ndani ya UK ndio umeibeba online community na vijiwe vya kahawa.

Nachowakubali watanzania ukitaka uwapoteze waingilie mambo yao yenye manufaa kama burudani na shughuli za kutafuta pesa.

Kwa hali hii kuna mtu wa kuzuia uchaguzi? 😅
Unashangaa post za NRNE kupungua, hushangai watu hawajadili kabisa bajeti ya serekali?!
 
Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election.

Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza kukupa attention online ukafikiri umeshatoboa.

Ghafla bin vuu comments za no reform no election zimeyeyuka. Na utaratibu wa ku-unfollow watu maarufu ukaota mbawa.

Maisha yetu ya kupenda furaha, amani na utulivu yameendelea tushasaau kama dada wa taifa alitoa miezi mitano ya mapambano.

Mjadala wetu ni timu pendwa na Diamond Platnumz ndani ya UK ndio umeibeba online community na vijiwe vya kahawa.

Nachowakubali watanzania ukitaka uwapoteze waingilie mambo yao yenye manufaa kama burudani na shughuli za kutafuta pesa.

Kwa hali hii kuna mtu wa kuzuia uchaguzi? 😅
maria srngi hatoi tena pesa ya bando na wao wakazira na kususa eti dah! :pedroP:
 
Mtu yupo Marekani mwingine yupo Kenya alafu wanasema wabongo acheni uoga ila wao hawathubutu kukanyaga bongo.

Kwa kifupi wabongo awaaminii mambo ya harakati haswa yakianza kuinglia furaha yao na rizki zao.

Mwenye akili awezi waambia watanzania waachane na Simba na Yanga au waaache kazi zao wakajazane mahakamani
Ni mazezeta, machawa na mazumbukuku toka Lumumba Street ndo wanawaza ujinga kama huo. Kwamba ushabiki wa Simba na Yanga ZINAZO ZOZANA chini ya TFF ya wahuni, sijui goli la mama, Shoga Diamond na kushabikia ujinga kama huo ati ndo furaha ya Watz...nonsense!!
 
chadema ni kama wanapoteza fahamu then zinawarudia

uzuri dawa yao ni moja tuh kula nao sahani moja
 
Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election.

Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza kukupa attention online ukafikiri umeshatoboa.

Ghafla bin vuu comments za no reform no election zimeyeyuka. Na utaratibu wa ku-unfollow watu maarufu ukaota mbawa.

Maisha yetu ya kupenda furaha, amani na utulivu yameendelea tushasaau kama dada wa taifa alitoa miezi mitano ya mapambano.

Mjadala wetu ni timu pendwa na Diamond Platnumz ndani ya UK ndio umeibeba online community na vijiwe vya kahawa.

Nachowakubali watanzania ukitaka uwapoteze waingilie mambo yao yenye manufaa kama burudani na shughuli za kutafuta pesa.

Kwa hali hii kuna mtu wa kuzuia uchaguzi? 😅
Dada yao wa Taifa amewaonya waache ku- type na badala yake waingie barabarani.
 
Mwendo ni huu.
 
Attachments

  • IMG_20250608_164717.jpg
    IMG_20250608_164717.jpg
    161.3 KB · Views: 11
Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election.

Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza kukupa attention online ukafikiri umeshatoboa.

Ghafla bin vuu comments za no reform no election zimeyeyuka. Na utaratibu wa ku-unfollow watu maarufu ukaota mbawa.

Maisha yetu ya kupenda furaha, amani na utulivu yameendelea tushasaau kama dada wa taifa alitoa miezi mitano ya mapambano.

Mjadala wetu ni timu pendwa na Diamond Platnumz ndani ya UK ndio umeibeba online community na vijiwe vya kahawa.

Nachowakubali watanzania ukitaka uwapoteze waingilie mambo yao yenye manufaa kama burudani na shughuli za kutafuta pesa.

Kwa hali hii kuna mtu wa kuzuia uchaguzi? 😅
No Reforms No Election
 
Screenshot_20250614_181121_Facebook.jpg
Screenshot_20250614_181043_Facebook.jpg
Screenshot_20250614_180955_Facebook.jpg

Hizi kwenye post ya TBC ya leo kuhusu ziara ya Samia kukagua miradi Dodoma ni nini?

Kweli CCM mmejaa machizi
 
Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election.

Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza kukupa attention online ukafikiri umeshatoboa.

Ghafla bin vuu comments za no reform no election zimeyeyuka. Na utaratibu wa ku-unfollow watu maarufu ukaota mbawa.

Maisha yetu ya kupenda furaha, amani na utulivu yameendelea tushasaau kama dada wa taifa alitoa miezi mitano ya mapambano.

Mjadala wetu ni timu pendwa na Diamond Platnumz ndani ya UK ndio umeibeba online community na vijiwe vya kahawa.

Nachowakubali watanzania ukitaka uwapoteze waingilie mambo yao yenye manufaa kama burudani na shughuli za kutafuta pesa.

Kwa hali hii kuna mtu wa kuzuia uchaguzi? 😅
 
Attachments

  • downloadfile-74.jpg
    downloadfile-74.jpg
    187.6 KB · Views: 15
Vita vya Israel kuipiga Iran ndio sababu kubwa na leo Ayatollaah kakimbia nchi yake mchana mchana
 
Ni mazezeta, machawa na mazumbukuku toka Lumumba Street ndo wanawaza ujinga kama huo. Kwamba ushabiki wa Simba na Yanga ZINAZO ZOZANA chini ya TFF ya wahuni, sijui goli la mama, Shoga Diamond na kushabikia ujinga kama huo ati ndo furaha ya Watz...nonsense!!
Noeli yuko huko

Ova
 
Back
Top Bottom