Comments za no reform no election zimeyeyuka mapema mitandaoni

Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election.

Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza kukupa attention online ukafikiri umeshatoboa.

Ghafla bin vuu comments za no reform no election zimeyeyuka. Na utaratibu wa ku-unfollow watu maarufu ukaota mbawa.

Maisha yetu ya kupenda furaha, amani na utulivu yameendelea tushasaau kama dada wa taifa alitoa miezi mitano ya mapambano.

Mjadala wetu ni timu pendwa na Diamond Platnumz ndani ya UK ndio umeibeba online community na vijiwe vya kahawa.

Nachowakubali watanzania ukitaka uwapoteze waingilie mambo yao yenye manufaa kama burudani na shughuli za kutafuta pesa.

Kwa hali hii kuna mtu wa kuzuia uchaguzi? 😅

1749448169920.jpg
 
Hakina hashtag afrika nzima inayo trend Kama ya #noreformnoelection
 
Mleta mada unajitoa ufahamu kuwa hufahamu tabia za ndugu zako?
 
Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election.

Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza kukupa attention online ukafikiri umeshatoboa.

Ghafla bin vuu comments za no reform no election zimeyeyuka. Na utaratibu wa ku-unfollow watu maarufu ukaota mbawa.

Maisha yetu ya kupenda furaha, amani na utulivu yameendelea tushasaau kama dada wa taifa alitoa miezi mitano ya mapambano.

Mjadala wetu ni timu pendwa na Diamond Platnumz ndani ya UK ndio umeibeba online community na vijiwe vya kahawa.

Nachowakubali watanzania ukitaka uwapoteze waingilie mambo yao yenye manufaa kama burudani na shughuli za kutafuta pesa.

Kwa hali hii kuna mtu wa kuzuia uchaguzi? 😅
no reform no election
 
No reform no election zitarejea wakati wa kampeni, na siku ya uchaguzi.
 
Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election.

Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza kukupa attention online ukafikiri umeshatoboa.

Ghafla bin vuu comments za no reform no election zimeyeyuka. Na utaratibu wa ku-unfollow watu maarufu ukaota mbawa.

Maisha yetu ya kupenda furaha, amani na utulivu yameendelea tushasaau kama dada wa taifa alitoa miezi mitano ya mapambano.

Mjadala wetu ni timu pendwa na Diamond Platnumz ndani ya UK ndio umeibeba online community na vijiwe vya kahawa.

Nachowakubali watanzania ukitaka uwapoteze waingilie mambo yao yenye manufaa kama burudani na shughuli za kutafuta pesa.

Kwa hali hii kuna mtu wa kuzuia uchaguzi? 😅
OKTOBA TUNA ✔️
 
Ukiwa na akili zakitoto unaweza ukaamini kweli kuna chama kinaweza kuzuia uchaguzi.Ila kama akili zako ni komavu bila kufwata mkumbo na mihemko utaona hiyo ni kampeni yakujifariji tu isiyokua na kichwa wala miguu na itapita kimya kimya kama zingine.Kuna siku itafika waliokua wanafanya hivyo watajiona walivyokua wajinga kwasababu mimi sijaona mtu au kikundi cha watu wakuzuia uchaguzi au mikakati yakuwalazimisha wenye mamlaka waitishe mabadiliko wanayoyataka zaidi yakutafuta like na umaarufu mtandaoni.
 
Sasa mtoa mada na wewe uliamini kabisa ule ujinga na upumbavu wa nrne udumu?!!! Yale ni machadema chakavu machache yasiyo na kazi za maana za kufanya. Hakuna chochote watafanya watafanikiwa nchi hii.....chuki, wivu na husda ndiyo sababu kuu ya kuanguka kwao.
 
Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election.

Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza kukupa attention online ukafikiri umeshatoboa.

Ghafla bin vuu comments za no reform no election zimeyeyuka. Na utaratibu wa ku-unfollow watu maarufu ukaota mbawa.

Maisha yetu ya kupenda furaha, amani na utulivu yameendelea tushasaau kama dada wa taifa alitoa miezi mitano ya mapambano.

Mjadala wetu ni timu pendwa na Diamond Platnumz ndani ya UK ndio umeibeba online community na vijiwe vya kahawa.

Nachowakubali watanzania ukitaka uwapoteze waingilie mambo yao yenye manufaa kama burudani na shughuli za kutafuta pesa.

Kwa hali hii kuna mtu wa kuzuia uchaguzi? 😅
No reforms no election
 
No reforms No election
 
Wimbo umeimbwa ukaimbika vema!ni rasmi uchaguzi haupo!
Kama taifa tulishajiandaa kutofanya uchaguzi Kwa katiba iliyopo!

Ni chawa pekee na ulevi wa madaraka ndio unalazimisha!!

Warioba alishasema muda tunao!mbona comrades hatuutumii muda!!?
 
Back
Top Bottom