sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,679
- 9,839
Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election.
Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza kukupa attention online ukafikiri umeshatoboa.
Ghafla bin vuu comments za no reform no election zimeyeyuka. Na utaratibu wa ku-unfollow watu maarufu ukaota mbawa.
Maisha yetu ya kupenda furaha, amani na utulivu yameendelea tushasaau kama dada wa taifa alitoa miezi mitano ya mapambano.
Mjadala wetu ni timu pendwa na Diamond Platnumz ndani ya UK ndio umeibeba online community na vijiwe vya kahawa.
Nachowakubali watanzania ukitaka uwapoteze waingilie mambo yao yenye manufaa kama burudani na shughuli za kutafuta pesa.
Kwa hali hii kuna mtu wa kuzuia uchaguzi? 😅