Comments on this picture

Comments on this picture

GIB

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2012
Posts
336
Reaction score
92
Je unajifunza nini kwenye hii picha?
 

Attachments

  • 485676_2932038706381_653852783_n.jpg
    485676_2932038706381_653852783_n.jpg
    64.3 KB · Views: 356
mimi nimefuraishwa na huyo mtoto na alama yake ya v
 
Fundisho: 1.Katiba mpya ishushe umri wa kupiga kura.
2. Watoto wengine wana akili kuliko sisi wazazi wao.
3. Mtoto aliyebebwa, ana uwezo mkubwa wa kuongoza Baraza la Mawaziri kuliko aliyembeba.
 
Kama tutafuata genetics Pinda ana damu ya CHADEMA kwasababu "mjukuu" wake na CHADEMA damdam. Lol!
 
sio lazima kupenda chama cha siasa anachopenda baba,na unaweza kuonyesha hivyo kwenye public hata kama baba hapendi...
 
Kama hiyo picha hajafanyiwa usanii, Mr. LIWALO NA LIWE anakila sababu ya kifikiri mara mbili mbili hapo aliposimamia si mahali pake
 
Walikuwa wanaangalia taarifa ya habari ITV. Mtoto akawaunga mkono waandamanaji wa CHADEMA.
 
kaazi kweli dogo ni M4C ila babu yake kapotea njia
 
Je unajifunza nini kwenye hii picha?

ukianza kujitambua si lazima kufuata kile wazazi/walezi wanachokifanya au kukiamini. Mtoto huyu ameonesha anauchungu na inchi yake na kutambua hiyo V ni silaha ya ukombozi na si itikadi ya CCM ambako baba yake alipo.
 
Je unajifunza nini kwenye hii picha?
vijana ndio tutakao leta mabadiliko via CDM wazee watu hawataki kukubali mabadiliko
kama ni mwanae itamuuma sana kwani mtoto kasha onesha dalili wazi wazi kuwa hatorithi chama
 
Wee mpiga picha, acha kumshawishi mtoto kuonesha hiyo kitu!
 
Back
Top Bottom