Comments on this picture

watoto huonyesha anachoona kila siku nyumbani, mtaani na hata shuleni. Maana ukitaka kufahamu tabia ya wazazi waangalie watoto nyumbani.
 
Fundisho: 1.Katiba mpya ishushe umri wa kupiga kura.
2. Watoto wengine wana akili kuliko sisi wazazi wao.
3. Mtoto aliyebebwa, ana uwezo mkubwa wa kuongoza Baraza la Mawaziri kuliko aliyembeba.

kweli mmemchoka mtoto wa mkulima bandia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom