Comfesheni page. . . . .

hope The Boss hatakonfesi hapa.
Maana huyu kaka sijajua ni nani.

Unajua he can be one of them; Lkn si unaona faida ya kongesheni, mapenzi yangu na Eiyer yana pick again!
 
Last edited by a moderator:
Kumbeeeee! Nicheme ni chicheme?
 
wee mbaya sana, unataka kupendezesha kwako kwa kuharibu kwangu???

Anyway, mie nasonga mbele.

Unajua he can be one of them; Lkn si unaona faida ya kongesheni, mapenzi yangu na Eiyer yana pick again!
 
Unajua he can be one of them; Lkn si unaona faida ya kongesheni, mapenzi yangu na Eiyer yana pick again!

Baelezee hao!Tena ninakupenda zaidi baada ya kukomfesi!
 
Si kweli kwamba nakufukuzia..............Labda mods waniruhusu niweke PM zako kwangu hadharani!!!!!!!!!!!!

Ha ha ha, mwaga mboga nimwage dona! Hata ile mipicha ya size ya ....... nitaianika. LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…