Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Kwanza,kwa wale wenye mapenzi mema na ndoa zao najua mtakubaliana nami. . Leo nimeamua kuwawekea ukurasa huu maalumu,kwa wale wfte wanaowa-cheat waume/wake/boyfriend/girlfriend zao watubu hapa.Usihofu mwenza wako akikukuta umekomfess hapa atakuona wa ukweli na mapenzi yatazidi saaaaana! . . . . .Ningeanza mimi lakini mi Kaunga ndo kanitoa ubikira wangu last week,bado mi ni faithfull kwake!Karibuni . . . . . . !