Comedy Bora Kuliko Zote .

Wawaliondoka KBC Sasa hivi wana kipindi kipya kinaitwa Doctor nafikiri wako KTN kwa sasa.Vioja mahakamani iko KBC Inaendelea ila ina watu wapya.
 
Nishachek animation za vichekesho nyingi sana. Ila sijaona iliyokonga moyo wangu kama muv ya sheriff RANGO
 
Mr.bean kibokoo jamani hivi yupo wapi,ana famikia?
 
Sio style yake ku-act kimya kimya, miaka hiyo ana-act (miaka 1910) technolojia ya kuweka sauti kwenye picha haikuwepo.
Hapana sio bubu, ilikuwa ni stahili yake, Kuna siku alikuwa anapewa Nishani utasikia sauti yake
 
Uwepo wa huyu jamaa ndo ulifanya tuwe na neno "machale" maana walikuwa Charle wawili charlie mkubwa na charle ndute kwa pamoja tuliwaita "machale" walikuwa wana machale kinyama.

Ndo ikawa kila mtu akiwa anajua kuhisia mambo tunamuita ana machale.

So far charlie Chaplin ni best comedian to ever live kwenye huu ulimwengu.
 
Mnaongea tu kwa sababu hamjaangalia Mr. Bean zote. Yule mtu nae hana akili kabisa.
 
Mnaongea tu kwa sababu hamjaangalia Mr. Bean zote. Yule mtu nae hana akili kabisa.
Ukiangalia kazi za Charlie Chaplin ndo utajua kwamba Mr bean amesaidiwa saana na kazi za charlie kufika hapo alipo.

Hata Mr bean akikusikia unakariri yeye ndo mkali kuliko charlie atakushangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…