Comedy Bora Kuliko Zote .

Mimi nampendaga King Julian wa Madagascar animation franchise
 
hivi ni bubu au maana nilivoviona alikuwa haongei kabisa

Tecnologia ilikuwa bado.hizo zinaitwa enzi za SILENT MOVIES.
Mambo yalichange miaka ya 1930.Ipo ile ya THE GOLD RUSH unaweza kumsikia akiwa narrator.
 
Sio ojola ila ni marehemu Ochola!
Human right yake ilikwanguliwa kabisa na OCHOLA akabaki FLAT . !!!! Hawa jamaa vioja mahakamani sio kwamba wamekamilika kuwa ni wachekeshaji kwelikweli wa asili lakini bado vipindi vyao vinafundisha namna ya kutoa ushahidi mahakamani ninawahusudu sana ila sidhani kama wote wapo pamoja tena maana sioni clip zao mpya kwani zoote nimekwisha angalia na ninazoziona sasa hivi wale magwiji kama OLEXANDA ,ONDIEK LUKAKOTRA,ALFONCE MAKACHA DOT MAKOHA siwaoni kabisa sijui nini kimetokea.
 
Kuna za 1914
1914
1915 na kuendelea.
Ukitaka kuinjoi anza na The circus ya 1928.Iko poa sana.
yaani miaka hyo ulaya wapo juu africa huku walikuwa bado msituni wanawasha moto kwa kusugua mawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…