Comedian wa Bongo

Comedian wa Bongo

Joti anafanya kwenye group mheshimiwa, siyo solo stand-up. Kwa mc pilipili umepatia, nimemcheki leo ana kipaji anachokikuza kwenye sherehe za harusi.

Nisome vizuri mkuu nimesema kwenye comedy za kawaida Joti ni mkali, nafahamu kwamba Joti hafanyi stand up comedy.

Acha kusoma comment kama unakimbizwa mkuu!
 
Kinyambe anavutia wachache kwa sababu anachanganya vibaya comedy za aina mbili; visual na mimicry.

Ninachokisema ndicho ulichoandika hapo juu, siyo kufundisha comedy ila kuwapa elinu ya kutambua muhusika ana_kick kwenye aina gani ya comedy.
=======================

Kama hujui kuzioanisha vizuri, msukumo wa ucheshi hupungua sana.Tusiandikie mate na wino upo! Mtazame Kinyambe

Hapo ndipo tutapata wanafunzi, that's fulsa chief siyo mpaka aje mtu toka nje ndo baadaye tutunie ngeri, "ninge..!
 
Je, ni komedian (mchekeshaji) gani hapa Bongo anayeweza kulinganishwa na Eric Omondi wa kenya? Kwa mnaomfahamu naomba mnijuze nicheki ukali wake.

Mkuu ulitakiwa kuwa specific kwamba unaulizia stand up comedians na sio comedians. Tanzania suala la stand up bado ni ishu ndio maana kuna kipindi alikuja Mr Cooper na jamaa mwingine toka US lakini mahudhurio yalikuwa hafifu sana. Hapa watu wamezoea "sketch comedy" kama za kina Masanja, Futuhi na wengine.

Kuna watu wanaoweza kufanya stand up comedy iwapo watapata training ya jinsi ya ku-deliver punch lines na pia watu wa kuwaandikia materials.
 
You are very right mate!
 
Kwa commedy za kawaida hakuna anayemfikia Joti bongo
 
kweli binadam tunatofautiana, yaani kuna watu wanachekeshwa na Kinyambe/Braza K?
 
Nisome vizuri mkuu nimesema kwenye comedy za kawaida Joti ni mkali, nafahamu kwamba Joti hafanyi stand up comedy.

Acha kusoma comment kama unakimbizwa mkuu!
Sentenso ya kwanza umeeleweka ila umeamalizia kwa namna ambayo mtu mzima kama mimi anastuka kidogo!
 
mpoki kwa stand up mzuri
Sana, The Boss. Tena nimeshakomenti juu ya hili.Mpoki ana kipaji cha 'witty sayings' ie misemo ya ukweli yenye ucheshi
ndani yake.Akipata mtu wa kumtrain kupangilia misemo yake kwenye mada fulani, Mpoki would be a very successful witty comedian in tz.
 
Last edited by a moderator:
kweli binadam tunatofautiana, yaani kuna watu wanachekeshwa na Kinyambe/Braza K?
Kumbe hata wewe unashangaaga kama mimi bro?Ni kweli, it is our differences that makes the world!
 
Kwa commedy za kawaida hakuna anayemfikia Joti bongo

kweli binadam tunatofautiana, yaani kuna watu wanachekeshwa na Kinyambe/Braza K?
kende, kama unavyoshangazwa na watu wanaofurahishwa na braza k na kinyambe, vivyo hivyo wako watakaokushangaa kumpamba Joti kwamba ni comedian mzuri.Mimi mmojawao!
 
Last edited by a moderator:
Sentenso ya kwanza umeeleweka ila umeamalizia kwa namna ambayo mtu mzima kama mimi anastuka kidogo!

Ni Kweli kabisa kiongozi mtu mzima kama wewe unatakiwa usome comment za sisi ambao sio wazima taratiiiibu! umetulia, sio haraka haraka tu then unquote!
 
Ni Kweli kabisa kiongozi mtu mzima kama wewe unatakiwa usome comment za sisi ambao sio wazima taratiiiibu! umetulia, sio haraka haraka tu then unquote!
Yaani safari hii sijakuelewa hata kidogo na wala sikimbizwi!
 
Tumemsahau dada wa kiganda, Anne Kansiime.Staili ya huyu dada ni tofauti sana.Si visual wala jokes punchline ila ni kuchimba social issues zinazokera. Hebu mwangalie HAPA akiwachimba watu wanaopiga simu kisha kukuambia ni wrong number. Pia jinsi akina mama/dada wanavyopenda ugomvi.

Kibongo kuna jamaa anajiita Stan Bakora anapendeza sana na style yake.
 
Kibongo kuna jamaa anajiita Stan Bakora anapendeza sana na style yake.
Asante kunijulisha juu ya stan bakora. Nimemtafuta mtandaoni nikamwona.Jamaa kajitengenezea trade mark ya kiraka cha mvi kichwani juu ya skio la kushoto.Kwa harakaharaka nilivomwona jamaa yuko strong kwenye visual comedy ie staili ya mr bean.Ila pia yupo kwenye mimicry comedy. Nimemcheki HAPA
 
Back
Top Bottom