SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,278
- Thread starter
- #41
Mr Bean, TODAYS, yuko class moja na msanii wa zamani aliyeitwa Charlie Chaplin.Hivi Mr Bean kasimama upande gani ?
Ucheshi wao ni tofauti na una jina maalum la 'visual comedy' Wasanii wa futuhi
wanachanganya hii visual comedy na sound comedy na matokeo yake ni kitu ambacho hakipo
duniani.
Last edited by a moderator: