Majuto
Mc pilipili
sijui mwenzenu mtaniona wa ajabuuu, lakini eti mimi mzee majuto hajawahi nichekesha, zaidi sana ananikera, kama kwenye lile tangazo la ivory, uuwiiiiiiii.
Eti bwana! Kama hayo mafutuhi wa startv! Ujinga mtupu.
Ile ya Mpoki kwenye kili awards strictly siyo stand-up comedy ila ile ilikuwa ni hilarious MC. Kwenye kili awards Mpoki alikuwa MC, hakuwa comedian.
Bahati mbaya sana Paula kilaki channel 10 siipatagi ninakoishi.Ni kweli kuna watu sense ya humour kwao ni vitu vya ajabu, kama baadhi ya watu wanaosema eti braza k wa futuhi ni kiboko kwa uchekeshaji. Kama braza k anakuchekesha, basi hata mtu anayecheua kwa sauti kubwa atakuchekesha!kuna yule mwingine kule channel 10 yule anayefanyafanya kama tahahira flani, nitashangaa sana mtu akiniambia huwa anachekeshwa naye.
Sana, tena sana proto cute. Naona kipaji kikubwa sana cha uchekeshaji ndani ya ubongo wa Mpoki.Akipata training na maelekezo ya do's na dont's kwenye uchekeshaji Mpoki ana potential ya kuwa mchekeshaji mkubwa hapa tanzania.Akichanganya ni ile misemo yake iliyojaa ukweli wa ucheshi eg 'hata mzungu awe mweupe kiasi gani kivuli chake kitakuwa cheusi tu' Mpoki atakuwa tishio tanzania.Hakuna wa kumsaidia hivyo dhahabu inakanyagwa na ng'ombe tu!Mwe! Asante kwa kunitoa ushamba...but i think he is good too if he can give a try to it