Come to think of It.............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Come to think of It..............

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Jan 26, 2011.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  My dear Brothers and Sisters
  Greetings from the very bottom of my heart....

  Nimekuwa nikiwaza kwa nini kina kaka huwa wanatuaccuse kina dada kuwa tunatumia 'Vitendea kazi" vyetu kuwanyanyasa hasa pale wanapotukosea.....utasikia kuwa tunawaadhibu kwa kutumia 'uchumi wetu' ..tena wengi wetu tunajustify kwa kulink lile tendo na hisia kuwa kama hisia kwa maana ya feelings zako zimeumizwa basi hata ile hamu inapotea kabisa na hivyo akikulazimisha ni sawa na kukubaka (nadhani maactivists wa haki za binadamu sijui kina mama wataniunga mkono hapa) hence the whole concept ya mume kumbaka mkewe inapopewa uzito.

  Najiuliza tu............hivi mume/boyfriend akiudhiwa na kukasirika huwa tunafanyaje iwapo atakunyima??

  Namkumbuka nyamayao hapa na ile style yake ya kujifanya kamwangukia juu wakati akimruka kitandani aende kushii usiku au ile ya kaona mende jikoni anamrukia then mambo yote yanamalizikia hapo.............je huku si kumbaka na yeye?

  Je ni sawa tunavyofanya haya?-
  Is it right to link hili tendo na feelings?
  If yes, is it right also to deny our partners kwa madai ya kuwa tumekuwa hurted?
  What are the consequences of this particular behaviour?
  Wanaume how do you feel when you are denied of sex from your partner kisa umemkosea?? what are your reactions?

  Am sorry maswali yamekuwa mengi but just feel free kurespond kwa yale utayoweza. Aksante
   
 2. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  kama analeta uchoyo na hiyo devil's pie yake basi nitaenda kukata kiu na kujiliwaza kule strip club.
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aksante Sherrif but is it right to link it with the hurted feelings?? Je wewe kama mwanaume ukiudhiwa na mpenzi wako huwa una'susa'?
   
 4. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Nikiudhiwa nitataka tukae na kuyaongelea hayo yanayotutatiza. Akisema nimemuudhi nitakuwa tayari for discussion and solutions. Lakini sitomnyima kama anataka haki yake. Same for her.
  Lakini, again, akiniletea uchoyo eti nimemuudhi na hataki tuongee na tuyamalize hey! nitaenda kujiliwaza na kukata kiu kulee strip club!!
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Women get the last word in every argument. Anything a man says after that is the beginning of a new argument.
   
 6. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mi nafikiri wakati wowote ambapo mtu hataki au hayuko tayari kufanya tendo la ndoa nawewe na ukamlazimisha ni UBAKAJI......:A S 20:

  Its right to link tendo la ndoa na feelings,there is no way unless am doing business that i can separate my feelings from the man am making lv with.

  It depends on what a man has done to hurt my feelings,lets say he did not wake me up to go to work.....on that one i will do the same when am suppose to wake him up so as he feels what i went through.....on the other hand,lets say he cheated on me..........i do not think i will be interested on having sex with him until my mind is cleared.:coffee:
   
 7. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  would u go back and have sex afterwards then,,:coffee:
   
 8. Nailyne

  Nailyne JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  it is not that we tend to link feeling na lile tendo but thats is biological fact that for women to enjoy sex there must be emotional feelings attached to it, so anger, hurtfeeling, depression, worries and stress in so many cases make women less interested in sex!
   
 9. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  It depends.......:coffee:
   
 10. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  hii iko applicable hata kwa men pia....na ni worse kweli kwetu cause you cant fake it!
   
 11. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  nakubaliana na wewe kabisa, na upande wa mwanaume ni kama kiberiti tu mara nyingi akisuguliwa kidogo tu analipuka. nakumbuka kuna siku nilikuwa na msiba halaf waifu akajipitisha pitisha nikajishtukia nimempeleka kuzimu. baadae nikajifanya kumlaumu kwanini aliniruhusu?, kumbe ni mimi bana. dah!
   
 12. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Msg delivered......:clap2:
   
 13. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahaaaaa.... dah, umenikumbusha mbali....

  Kuna usemi usemao "Men do not need reason to have sex, they only need a place"
   
 14. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Mwanaume akianza kwenda KONA BAR NA JOLY basi mama umeumia,usidhubutu kumnyima mumeo unyumba
   
 15. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0

  Pumba za mahindi mabovu
   
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  shida yangu mimi ni MUDA AMBAO SRED IMERUSHWA.....
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mwanamke anaweza kumlazimisha mwanaume wafanye matusi???
   
 18. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  I real think it real link with the feelings dear,how does one feels horny?how does one feel I need a shoulder to lean on?wat you do wen making love?your body,mind and soul vyooote vinafanya kazi na kufurahia wat u do kama ni furaha,na kama ni kuuzunika zen the vise versa.eg my hubby or BF kachukua hela kwenye account katumia kwa matumizi na mipango siyo tuliyokubaliana[deffenetly am hut]hakuniambia mpaka nimemuuliza,tayari nina uchungu moyoni,tayari nina hasira nae,do I have to put a plastic smle just coz i love him and act like nothing happend?hel no,lazima ajue kafanya kosa,ajutie na kukiri[few ombaz msamaha] na tam that dei anakosa kama bado hasemi ukweli,lkn kama kakiri na kuomba msamaha lazima asamehewe na ale tam yake atakavyo.
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sasa mwanajamiione ni hivi....

  talking of my exiperience ya ninachokifahamu/ninachokiface..wakina mama wanakuwa ''wagumu sana'' kuwaelewa wenzi wao kama wao wakiwa wamekosewa/hawakutendewa ndivyo.kwamba kama kuna kitu hawajafanyiwa fair wao huwa hawataki kabisa kuliongelea hilo,na madhara yake ni kwamba wanajenga kisilani fulani cha kumkomoa mwenzi wake.on the same scenario wao WAKIKOSEA huwa wanatafuta reconcilliations kwa ''ishara tu'',ikiwa ni pamoja na kumtempt mwenzie wafanye tendo la ndoa,kwa kuamini kwamba baada ya hapo ''kila kitu kitakuwa kimekwisha''.UWELEWA WANGU MDOGO UNANIFANYA KUAMINI KWAMBA KWA KUFANYA HIVYO KUTAKUWA NA KUJIRUDIA RUDIA KWA MATATIZO FANANISHI.

  USHAURI WANGU:kunapotokea tatizo fulani,kwa mfano hujafurahishwa na kitu fulani au umeudhiwa na jambo fulani ni vyema sana mkatafuta muda mkakaa na kulijadili kwa mapana namna linavyowaathiri wote,as from there labda mnatafuta solutions itakayocover na matatizo fananishi ya siku za mbeleni,halaf mkisha ridhika then hayo mambo ya sex yafuate,naamini yatafanyika wakati mioyo yenu wote ina amani na labda huenda mkaifurahia zaidi

  NINA MENGI YA KUONGEA HAPA LAKINI KWA LEO inatosha
   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  How long will it take? remember ukiombwa msamaha mara kumi unajifanya kichwa ngumu kwa hisania ya "until my head is cleared" akipata poozeo (another cheating that is) na mara nyingi inakuwa ni jipya, ujue imekula kwako, na yeye atapoteza interest na wewe for good, coz utakuwa hutaki kuguswa, atakuona kama mama yake tu. siku ume-clear your head, unakuta jamaa yeye ndo hana feelings na wewe kabisa.

  Kua uyaone.
  Biggie.
   
Loading...