Come to think of It..............

Aksante Klorokwin..hiki ndicho ambacho nilikuwa nakisemea.........so hii kitu wanawake tunatake advantage.........huwa ninaukumbuka sana mfano wa nyamayao kuwa Mr akinuna anajifanya kaona mende jikoni anaruka futi mia na keleuwiii nyingi then Mr akijakutizama kuna nini anamkuta nyamayao chini akigumia kama kaumia ........akifanya kosa tu la kumwinamia kumnyanyua anajikuta anamalizia kila kitu........sasa nasi hii tuite kubaka?? Maana inakuwa kama tumamlaimisha pasipo ridhaa yake ............tukisaidiwa na maumbile

nikizungumzia uzoefu wangu binafsi nadhani nakubaliana na hoja yako kwamba wanawake wanatake advantage na kama sio wanawake wote basi at least huyu waifu wangu. na siwezi kuita "ubakaji wa mwili au wa nguvu" kwavile mwanaume unafanya lile tendo ukiwa unalifurahia kabisa, lakini naweza nikaita kwamba ni "ubakaji wa udhaifu wetu", me as me hata niwe nimekasirika vipi mgomo wa sarakasi siweki cuz i am sure i am going to loose the battle, naweza nikamuwekea mgomo wa kumsindikiza shopping na kwenda cinema weekend as alternative (releif for me, punishment for her).
 
Nimejifunza jambo kutoka kwako.thanks.
 
i salute you!
 
Back
Top Bottom