come one..come all!!nimerudi leo toka mpanda, nimewaletea ile kitu tamu!!

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
...karibuni bana kiukweli, na kiroho safi kabisaaa!...
hainaga moriii machalii zangu!!
 
Ulikumbuka kufika kuleee kwenye lihotel kubwa linalojengwa na pale kwenye Viboko wengi karibu na Katavi?
 
Ulikumbuka kufika kuleee kwenye lihotel kubwa linalojengwa na pale kwenye Viboko wengi karibu na Katavi?
kote kaka chafua iyo...na lile pori lenye mbung'o kibao mwanangu, hutakiwi kufungua kioo...
mizinga ya nyuki tu, km km 300 unaendesha pori kwa pori huoni hata mtu akikatiza...rough road
 
Back
Top Bottom