Combination ya Nazi, karanga na muhogo.

jastertz

JF-Expert Member
Jul 4, 2020
392
743
Habari wana JF Afya!

Jana katika soko fulani nikakutana na jamaa anauza powerbank, mchanganyiko wa nazi, karanga, na muhogo kwa ajili ya mambo yetu yale.
hizi ukila zinakua ni za muda mrefu au unajibust kwa muda tu...???
vipi ukila alafu usikutane na mwenza wako madhara yake ni yapi..?
 
Kuna siku nilikuwa namsikia Dr akitoa somo, mihogo ina starch na haina uhusiano wa moja kwa moja na nguvu za kiume. Ni sawa na ule majimbi, viazi mbatata au chapati.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Nimewahi kula hicho kitu huku Dar wanaita Bundle. Ilikuwa kawaida tu sikuona tofauti
 
Akili za wabongo, ndiyo maana kila siku watu wanakuja na projects za kuwapiga lakini bado wamo tu hawakomi.
Kwa akili zao wanaringanisha rangi za mbegu za kiyme na havyo vitu wanavyouziwa basi wao ndiyo wanadanganyika kuwa vitu hivyo vinawaongezea nguvu za kiume. Mbaya zaidi, hawajui tofauti ya sperm count na nguvu za kiume.
Hata ukiwaambia wale chaki wanakula tu na zitauzika sana hadi kuadimika
 
Kuna baadhi ya mambo ni kutaka kujua ukweli kwa kufanya ki utafiti kidogo. Sio kila anayekula ni lazima anakamia kufanya mambo. Usichukulie mambo kwa ukubwa sana na ukajiona una akili sana.
Hata hivyo life is too short ndugu.
 
Back
Top Bottom