Combination ya Nape, Makamba na Mwigulu nchini Dubai sina imani nayo kabisa

Msukuma mwenzenu alifanya nn zaidi ya kujenga ujambazi, uuaji na kuwajengea hofu watu ktk nchi yao?
Hofu ulikuwanayo wewe watu walikuwa wanatembea muda wote tuna lala muda wote na tunakaa masaa yote wala tulikuwa hatukamatwi kwa kuzurula na tulikuwa tunatembea usiku wa manane hatukabwi
 
Hofu ulikuwanayo wewe watu walikuwa wanatembea muda wote tuna lala muda wote na tunakaa masaa yote wala tulikuwa hatukamatwi kwa kuzurula na tulikuwa tunatembea usiku wa manane hatukabwi
Wewe hiivi Sasa unakabwa kwa uzinzi wako tu. Lkn enzi za yule shetani watu awlitekwa akina Azory , Ben Sa8 na wengine wengi
 
Wewe hiivi Sasa unakabwa kwa uzinzi wako tu. Lkn enzi za yule shetani watu awlitekwa akina Azory , Ben Sa8 na wengine wengi
Ukitaka kushindana na Dora Popote duniani lazima utekwe kwani weuoni Raisi wa Ukraine anavyo taka kutekwa ? Na watu kutekwa siyo Tanzania pekee ndiyo watu utekwa Gaddafi, Sadam Hussein wote walitekwa na kuuliwa
 
Hawajamfikia Makonda mpk alijitangaA kuwa ni mtu mwenye raha zaidi duniani.

Hawajamfikia Sabaya aliyekuwa na mabaunsa

Hawajamfikia Musiba aliyekuwa anacheza kama mtoto ikulu

Hawajamfikia jiwe aliyegeuza Kijiji Cha Chato kuwa Jiji na kusomba wanyama kupelekea chato
Kipindi cha jiwe walaji walikuwa ni wachache sasahivi ni zaidi ya shamba la bibi
 
Katika miaka sita ya Magufuli - lini mawaziri zaidi ya mmoja kwenda ughaibuni? Jaribu kukokotoa hela iliyotumika hapo! Mamilioni mangapi? Anaye furahia safari hizi anawalakini.
Kwa kinachoendelea na kuonekana hivi sasa ni bora tungekuwa na jeshi lingechukua usukani mara moja lkn siyo hao mgambo wa CCM kazi kuiba vyakula kambini kwenda kuhonga,, Nchi imefika pabaya kusema ukweli raisi anachupalia kukopa na kundi lake wanazila huku wakifanya mikakati ya kuuza nchi,, maharage anauza nini cha TANESCO huko Dubai? Nape ana habari gani huko Dubai? Makamba na Maharage wako kazini kama walivyotumwa na Samia kuiingiza Tanesco na wizara ya nishati katika majanga kama yale ya uwekezaji wa kipigaji,,
Tunawaomba JWTZ nyie kama siyo mgambo wa CCM fanyeni kweli kwani tumechoka na haya tunayoyaona hivi sasa bora tukose wote kuliko wale wachache Mgambo amkeni yote ni historia tuu someni Afrika magharibi msibweteke
 
Sasa tusicheze mchezo wa paka na panya. Kwamba kila mtu analaumu pale anapokuwa nje ya chungu. Lkn akiwa ndani aanakuwa kimya.

Ili kutibu yote haya tuibadilishe katiba . Tupate katiba mpya.
Ndiyo hicho tunataka sasahivi walaji wanajulikana ni zile koo ambazo babu zao walikuwa kwenye uongozi
 
+ Bashe, jamaa wameungana kupiga pesa za umma vizuri, umeowahi kuona watu vivutio vipo Tanzania lakini onyesho lipo imznUarabuni?
Jiongeze kidogo ujue maana ya "Expo" mwaka huu iliyofanyika Dubai
Kukutoa tongotongo haya ni maonyesha ya bidhaa na huduma kwa nchi zote duniani, sio Tanzania pekee na yamewahi kufanyika nchi nyingine miaka iliyopita.
Kwenye maonyesho hayo tunajitangaza kwenye hadhira ya dunia nzima.
Shule ulienda kukifunza nini?🤔
 
Acheni ubaguzi wa so called uzawa au sijui ukanda au kabila
Wekeni watu wenye uwezo wa kufanya kazi bila kuwaza Uwaziri Mkuu wala Urais

Tumeona mada hizi za ooh huyu mwizi au anatafuta popularity au anajijenga kwa next elections

Hivi hamuoni nchi kubwa wanawekwa vichwa hasa kwenye wizara zinazosimamia uchumi wa nchi?

Angalieni mfano Waziri wa Fedha, Mayor, na hata msemaji na mchambuzi wa masuala ya Uchumi ni nani

Kwanini serikali inabagua hivyo?
Sababu za msingi bila povu please
 
Hoja mfu kabisa hii. Yaani tukose Kodi toka kwa wenye maduka kwasbb Kuna wajinga wachache wasiofuata taratibu (kwa jina la machinga) wamepanga bidhaa zao mbele ya maduka???
Wajinga?wanatafuta kuishi unawaona wajinga hivi vimishahara vyenu vinawanyima maarifa sana.
 
Acheni ubaguzi wa so called uzawa au sijui ukanda au kabila
Wekeni watu wenye uwezo wa kufanya kazi bila kuwaza Uwaziri Mkuu wala Urais

Tumeona mada hizi za ooh huyu mwizi au anatafuta popularity au anajijenga kwa next elections

Hivi hamuoni nchi kubwa wanawekwa vichwa hasa kwenye wizara zinazosimamia uchumi wa nchi?

Angalieni mfano Waziri wa Fedha, Mayor, na hata msemaji na mchambuzi wa masuala ya Uchumi ni nani

Kwanini serikali inabagua hivyo?
Sababu za msingi bila povu please
Walimtukana magu eti mshamba
 
Back
Top Bottom