COLOR SELECTION

zigi 01

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
262
250
Napenda kujua ni jinsi gani naweza kuchanganya rangi ikawa yenye mvuto kulingana na picha na maandishi!
mf nikiwa na background ya blue ni weke maandishi rangi gani na gani ili ivutie kwa mtazamaji? kama kuna anaejua plse nisaidie hata ikiwezekana kitabu kitanisaidia zaidi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom