Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,173
sjakuelewa unamaanisha kimeshafungwa?na washakula kona?Habari ndo iyo.
Nasikitika kuona imefika hapo kwa suala ambalo ninaamini lingezungumzika. Nadhani vijana wa Engineering itabidi wa-review thinking yao.
Wenzao (mangwini) juzi walikuwa kwenye mgomo kushinikiza serikali ya nchi yao iwaongezee posho. Kilichonishangaza ni kuona wanafunzi wa uhandisi hawashiriki. Wao walikuwa na mgomo tofauti wa kushinikiza mwenzao aliyeliwa kichwa arudishwe.
Sitaki kuwananga. But they have screwed themselves by enlarging this problem.
Hakuna uinjinia hapo. ni uhuni tu.
heri eng mmoja Kuliko mangwini 100...
sjakuelewa unamaanisha kimeshafungwa?na washakula kona?
Habari ndo iyo.

Umepeleka wa busara zako, waache hawa vijana wanachofanya ni sahihi, kwa mazingara ya sasa mtu una GPA above 3 then unadisko kwa course moja tu haikubaliki.
Umepeleka wa busara zako, waache hawa vijana wanachofanya ni sahihi, kwa mazingara ya sasa mtu una GPA above 3 then unadisko kwa course moja tu haikubaliki.
heri eng mmoja Kuliko mangwini 100...
heri eng mmoja Kuliko mangwini 100...
Haaa kumbe kakamatwa akidesa na amekiri mwenyewe??